AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
WanaJamvi wasalaam,

Baada ya mahakama kuu kutoa agizo kwa Tigo kuwalipa 2.1bil wasanii Mwana FA na AY kutonaka na kampuni ya Tigo kutumia kazi zao bila ridhaa yao.

Baada ya maamuzi hayo ya mahakama yaliyofanyika wiki iliyopita ,wiki hii kampuni ya Tigo ilipeleka kusudio la kukata rufaa kupinaga maamuzi yaliyofanyika na kuwapa ushindi Mwana FA na AY.

Baada ya rufani ya Tigo kugonga mwamba,Leo Mwana FA na AY wakiongoza na wakili Alberto Msando wamefungua case mahakma ya W/ilala kuiomba mahakama kuzikamata mali za TIGO ili walipwe pesa yao TSH 2.1billion zilizo amuliwa na mahakama kuu.

Pia wameomba mahakama kumkamata kaimu manager wa Tigo watakaposhindwa kulipa deni kwa wakati

Nawatakia kila la kheri....bila shaka watalipwa pesa zao
Waliposhika waendelee kushika....

Wasalaam
 
Hili ni funzo wa wanyonyaji na wakoloni weusi wote
 
Thanx FA Na AY Hakika mmetuthibitishia kuwa penye noa pana njia,msimsahau producer wenu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…