AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

ndo maana ake hyoo...maana wagawane tu!
dhulma haijawahi kumuacha mtu salamaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
hahahahaha eti motorola bapa na nokia jeneza hahahahah
 
Mbele ya pesa aise tena bilioni aise utazilipa tu

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Sasa kama wanaelekea kushinda kwa nn wasishinde hapo mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wanaelekea kushinda bali WAMESHINDA kesi hivyo kwenye viunga vya mahakama wanakwenda tena kwa mara nyingine ili mahakama ikamate mali za Tigo kama sharti la kuwalazimisha kulipa vinginevyo utekelezaji wa ulipaji unaweza ukafanyika siku isiyojulikana hata kama baada ya miaka 5
 
Makampuni ya simu yanapiga sana pesa mara nyingine isivyo sahihi kama hapa.

Hongereni wasanii AY na Mwana FA kwa kuonyesha njia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom