Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....wangepiga nyimbo za mrisho mpoto bassiHivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
Mkuu hata mimi hilo nimeliona hawa wataendelea kupigwa danadana hivi hiviHivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
Acha kebehi za kijinga mkuu. Umeenda mbali sana kumdharau binaadam mwenzio kiasi hiki. Thamani ya mtu haina scale of measurement or either a price to tag!Hivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
Nimeelewa baba/dada, ndio sasa naelewa kuwa wafanyakazi wa serikali moja kwa kigezo cha utumishi wa umma mwingine anapata 35m na mwingine 400,000/- tena zote zinalipwa kwa mfumo mmoja wa 'salary slip'.Acha kebehi za kijinga mkuu. Umeenda mbali sana kumdharau binaadam mwenzio kiasi hiki. Thamani ya mtu haina scale of measurement or either a price to tag!
Tigo hata wangewalipa hundreadth of billion dollars haziwezi kufikia thamani za hawa wasanii wetu.
Halafu unajua inahitajika utulivu wa akili kiwango gani mpaka mtu akafaulu kuandika na kutunga mashairi ya wimbo na hadhira ikaukubali wimbo huo kama kiburudisho? unajua ni watu wangapi wameokolewa kupitia jumbe za nyimbo?
Hujiulizi hata ni kwanini hao wezi tigo walichagua nyimbo hizo ziwe burudani kwa wateja wao?
Ifikie mahala tufanye masahihi ya kauli zetu nj maandiko yetu kabla hatujaruhusu yasomeke hapa jukwaani.
Umeniudhi sana.
Tigo washalazwa kibla, na kama wataendelea kuweka mgomo tutaanzisha kampeni tukiwa kama wateja wa tigo na wanufaikaji wa burudani za wasanii wetu.
Kauli mbiu yetu itaitwa [HASHTAG]#EXITTIGO[/HASHTAG] kwa masrahi ya wasanii wetu.
Kwakuwa wateja wengi wa huu mtandao ni vijana, tgo akili zao zitawakaa sawa na watalipa ndani ya muda mfupi sana na i think this one is a good approach na haitaingilia mambo ya kimahakama make hukumu tayari ishatoka.
Chizi ni wewe uliyekuwa unalipia caller tune za wasanii wetu na kuwafaidisha tigo bila makubaliano rasmi na wamiriki wa hizo nyimbo.We chizi kweli hio utafanya wewe na familia yako. Sisi tigo hatuondoki
Ndio kunakopatikana haki.Hao vijana baada ya kuona wamewabana mbavu tigo sasa hivi kila kukicha wao wanashinda kwenye viunga vya mahakama![]()
-Ndumilakuwili-
Beat haiuzwi.Heeee kama hermy b aliuza biti kwa cash why apewe mgao tena wakati keshatoa hati miliki ya huo mdundo
Sent using Jamii Forums mobile app