ndo maana ake hyoo...maana wagawane tu!hahahahaha lazima wagawane mapato mwaka huu
Yule alisha pewa chake baada ya kumaliza kazi hizi naona watagana mtu tatu.Nitawaona wakatili FA na AY endapo ktk mgao wakimsahau Hermy B, kwani biti yake ndio iliyotumika kuliko hata hizo sauti zao.
Nitawaona wakatili FA na AY endapo ktk mgao wakimsahau Hermy B, kwani biti yake ndio iliyotumika kuliko hata hizo sauti zao.
Mimi ningeomba chumba kabisa cha mahakama niwe nalala huko ...chezea bilioni wewe
Sio wanaelekea kushinda bali WAMESHINDA kesi hivyo kwenye viunga vya mahakama wanakwenda tena kwa mara nyingine ili mahakama ikamate mali za Tigo kama sharti la kuwalazimisha kulipa vinginevyo utekelezaji wa ulipaji unaweza ukafanyika siku isiyojulikana hata kama baada ya miaka 5
Hahahahaaa we jamaaa weweAcha utoto wewe unafikiri kwanini huyo kaimu manager wa Tigo hakutunga nyimbo zake na kwenda kurekodi halafu azitumie kwa urahisi tuu....
Heeee kama hermy b aliuza biti kwa cash why apewe mgao tena wakati keshatoa hati miliki ya huo mdundoNitawaona wakatili FA na AY endapo ktk mgao wakimsahau Hermy B, kwani biti yake ndio iliyotumika kuliko hata hizo sauti zao.