AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

nawaona tigo wanavotamani
kuwawekea hata risasi kwenye vocha tu yaishe!
AHHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHHAHHAHAHAHHAHA hakiiiiii!
 
Well said...
 
Weka picha nisave

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadekii.....wamekomaa... Mpaka wamevimba nyuso..kmmake
 
Nyie wenye line za tigo mmekwisha, mtakatwa kwa kila vocha mnaloweka ili muwalipe, ushauri hameni tigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu nahisi tuna vinasaba vinavyofanana na AY atakua ndugu yangu yule, hata wahenga walisema "Kizuri kula na nguguyo" ngoja niiombe mahakama iamuru tuchukuliwe vipimo vya DNA
 
Hongera zao vijana wanaenda kuuaga umaskini "haswa FA" maana AY naamini anamiliki mali zenye thamani zaidi ya hiyo pesa. Lakini pia nikiangalia salio watakalobaki nalo baada ya makato yote si zaidi ya 1.5b kwa hesabu hizi hapa.

2.1b - 18% (kodi) - pesa ya mahakama (sio chini ya 10%) - na sasa pesa ya kukazia hukumu (sijui ngapi) - pesa ya wakili (sio chini ya 5%) = ???? Gawa kwa wawili = salio la kila mtu kati ya 600m - 750m. (si haba)
 
Nitawaona wakatili FA na AY endapo ktk mgao wakimsahau Hermy B, kwani biti yake ndio iliyotumika kuliko hata hizo sauti zao.
kwani si walishamlipa kwa kazi hiyo......au bado anawadai hela ya kuproduce?.....
 
Hivi ni wimbo gani tigo wali tumia?

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
kwani si walishamlipa kwa kazi hiyo......au bado anawadai hela ya kuproduce?.....
Biti ni Mali ya prodyuza. Ni kama vile unanua CD ya windows au umelipia nguzo ya umeme TANESCO
 
Hao vijana baada ya kuona wamewabana mbavu tigo sasa hivi kila kukicha wao wanashinda kwenye viunga vya mahakama

-Ndumilakuwili-
Hivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…