AY na Mwana FA wafungua case wakiiomba mahakama kukamata mali za Tigo ili walipwe pesa yao

Kwani ile kesi ya kipindi kile wakiwashtaki hawa hawa tigo na wakashinda walipwe 1billion huu ni muendelezo wake au hii nyengine kabisa
 
Tigo washalazwa kibla, na kama wataendelea kuweka mgomo tutaanzisha kampeni tukiwa kama wateja wa tigo na wanufaikaji wa burudani za wasanii wetu.
Kauli mbiu yetu itaitwa [HASHTAG]#EXITTIGO[/HASHTAG] kwa masrahi ya wasanii wetu.
Kwakuwa wateja wengi wa huu mtandao ni vijana, tgo akili zao zitawakaa sawa na watalipa ndani ya muda mfupi sana na i think this one is a good approach na haitaingilia mambo ya kimahakama make hukumu tayari ishatoka.
 
Hivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
.....wangepiga nyimbo za mrisho mpoto bassi
 
Hivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
Mkuu hata mimi hilo nimeliona hawa wataendelea kupigwa danadana hivi hivi

-Ndumilakuwili-
 
Hivi kweli hawa hata thamani yao inafikia hiyo pesa, achana na thanani ya nyimbo zao! Isije ikawa story za makinikia ambapo unaidai kampuni bajeti zako za miaka 20 huku thamani ya mdaiwa ikiwa haifikii hata robo ya unachokidai!
Acha kebehi za kijinga mkuu. Umeenda mbali sana kumdharau binaadam mwenzio kiasi hiki. Thamani ya mtu haina scale of measurement or either a price to tag!

Tigo hata wangewalipa hundreadth of billion dollars haziwezi kufikia thamani za hawa wasanii wetu.

Halafu unajua inahitajika utulivu wa akili kiwango gani mpaka mtu akafaulu kuandika na kutunga mashairi ya wimbo na hadhira ikaukubali wimbo huo kama kiburudisho? unajua ni watu wangapi wameokolewa kupitia jumbe za nyimbo?

Hujiulizi hata ni kwanini hao wezi tigo walichagua nyimbo hizo ziwe burudani kwa wateja wao?

Ifikie mahala tufanye masahihi ya kauli zetu nj maandiko yetu kabla hatujaruhusu yasomeke hapa jukwaani.

Umeniudhi sana.
 
Ila hawa jamaa wakipewa hizo hela watakua watu wengine kabsa! bilioni si kitu cha mchezo mchezo.
 
Nimeelewa baba/dada, ndio sasa naelewa kuwa wafanyakazi wa serikali moja kwa kigezo cha utumishi wa umma mwingine anapata 35m na mwingine 400,000/- tena zote zinalipwa kwa mfumo mmoja wa 'salary slip'.
 
Hermy B naye aanze kupasha endapo atasahauliwa kwenye mgao husika.
 
Nilikutana na AY mwaka 2004 huko nyuma, analalamika kazi zake zinaibiwa. Akawabamba Wachaga pale Posta Mpya wanagonga kopi kama hawana akili nzuri, wakamuingiza mgahawa wa Food World wakampoza sijui laki mbili. Tanzania dhulma ni jambo la kawaida, lakini tutafika tu.
 
Kama wameshindwa basi wawakabidhi kampuni yao uwe chini ya Ay na Fa
 
tigo walipe tuu hyo hela ya wana asee mana tigo wenyewe wanatuibia kichiz masalio,,hadi 100 hawaachi
 

We chizi kweli hio utafanya wewe na familia yako. Sisi tigo hatuondoki
 
We chizi kweli hio utafanya wewe na familia yako. Sisi tigo hatuondoki
Chizi ni wewe uliyekuwa unalipia caller tune za wasanii wetu na kuwafaidisha tigo bila makubaliano rasmi na wamiriki wa hizo nyimbo.

Unajua ni kiasi gani cha pesa umelipia wakati unanufaika na hizo nyimbo? sasa waambie tigo walipe fidia ya kile walichopanda.
Ukipanda boga usitegemee kuvuna tikiti.
Hizi sio zama za kunyonya jasho la mtu kama enzi za kina kanjbhai.

Tell 'em(tigo) to swift money into FA&AY's a/c.
 
Makampuni ya sim tz dhuluma sana!

Ova
 
mali za tigo ni kama zipi vile hapa tz? bank accounts? immovable properties? zini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…