Sasa ukienda wewe mgeni kichwakichwa unauawa mara moja.
Nakuona unawafunda wananzengo kwa google info!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukienda wewe mgeni kichwakichwa unauawa mara moja.
kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.
What has that got to do with the price of pork in China?Nakuona unawafunda wananzengo kwa google info!!
Halafu kuna machizi wenyewe wanajua hata ukitaka kupita kwa miguu Manzese kwa mfuga mbwa, saa tisa usiku, code zao vua shati na viatu, shika mkononi, katiza, wahuni wakikuona wanajua huyu mwanetu anajua code za hapa msimguse.
Sijui anayedanganya ni yeye au hao wanaosambaza hizi taarifa. Ila narudia tena AMBWENE YESAYA HAWEZI KUNUNUA MANSION CALABASAS,L.A.Unataka kusema anadanganya siyo?
What has that got to do with the price of pork in China?
Mimi nimemuona mmoja tu Kiongozi.Hadi sasa wachawi wangapi wamejitokeza kwenye uzi huu?
You have no idea what I am referring to.Oops...not China..Cant live there
U missed it
That is surely a posh burb. But pray tell.Sijui anayedanganya ni yeye au hao wanaosambaza hizi taarifa. Ila narudia tena AMBWENE YESAYA HAWEZI KUNUNUA MANSION CALABASAS,L.A.
You have no idea what I am referring to.
Because you have no idea what you are referring to.
I have no idea what "smarest in town" means.Ur the smarest in town......u win everything
Aaah wapi kuna ukakasi sana asirudi mimi mwenyewe nina mpango wa kuelekea hukoRudi nyumbani kumenoga
Calabasas?? Haya bwana
Ndio mkuu....hakuna kitu kama hicho nini mbona umeshangaa!Calabasas?? Haya bwana
Median home price in that neighborhood , according to Property Shark, is $2.2 million.
Calabasas is not even in the top 10 most expensive neighborhoods in L.A.
Nevertheless, a median price of $2.2 million is nothing to sneeze at.
Whether AY has a crib there or not, only he knows the real facts.
Let’s say he has. Does that mean he owns it free and clear? Maybe or maybe not.
All I know is, you’d be hard pressed to find people in the US owning their properties free and clear.
Most have mortgages....
Dude,That is surely a posh burb. But pray tell.
How well do you know the guy, his business interests, his wife's business interests, their combined portfolio, the requisite credit for the purchase of such a "mansion", and why he can't possibly afford that?
I am not saying that you are wrong or right, I am just intrigued by your cocksure assesment.
Do you know more?
Or is this just "mbongo hawezi kununua hiyo mansion" ?
On the one hand, anyone can call a real estate agent and pose in front of cribs and post stuff online. So you may expose this guy as a poser.
On the other hand, there is no law of physics or economics that prevents him copping a crib in posh burbs, people do not make all their biz open.
Ndio mkuu....hakuna kitu kama hicho nini mbona umeshangaa!
I thought yuko Tx as news za kupata mtoto zilikuwa Tx. To me it still very expensive for a person who’s settling, unless he’s really a “billionaire” as they say.