lunae
Member
- Aug 21, 2018
- 81
- 130
Huku Bongo watu wanaishi kama mashetani
Mnh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku Bongo watu wanaishi kama mashetani
HongeraKila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
SafiKila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Hahahahhongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
Hii kanungo ndio kama kwangwaru kwao... Kila sehemu inapigwaTafuta ang'engo ya osogo na kuna moja inaitwa Alandlord na kanungo hatari sana Mkuu hapo unashushia na bia zako maisha yanakuwa murua kabisa.....
Ngoja nifanye kuingia google mkuu....
na haijalishi kama ni za kwako unaweza kopa piaNi business based, $1m, ila ukiwa na business sehemu maalumu kama rural areas or inner city etc unapewa mpaka $500,000
Mimi ndoto yangu ni kuishi Shirati -Rorya.Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
si bure atakua si mzimaUtakua na tatizo kichwani.
Dah kweli bro.Hongera kwake hakuna jambo nzuri katika maisha kama kukamilisha ndoto asee.
Self hate inakusumbuaWrite your reply...
mi mwenyewe huwa nawashangaa mabosi wa bongo, utakuta jamaa ana mkwanja halafu anaishi bongo, mi ngoja niendelee kujichanga trampuni lazima nikaishi yaani mamtoni, unyamwezini aaaahh
Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Kwani viongozi wa serikali wameanza kuiba leo??..wako sahihi waache waibe wafanyeje sasa,li-nchi lenyewe halieleweki,nasema hivi bahata mbaya sijawa kiongozi serikalini,laiti nami ningebahatika ningechukua changu mapema hakuna nchi hapa,we zubaa tu,watu wanashangaa mbona nchi masikini na ina rasilimali kibao,jibu viongozi wanachukua vyao mapema,jiongeze..Self hate inakusumbua
We utakuwa na tofauti gani! na viongozi wa serikali wanaoiba hela za wananchi na kwenda kuzificha kwenye mabank ya wazungu!
Self hate inakusumbua, unahitaji tiba!Kwani viongozi wa serikali wameanza kuiba leo??..wako sahihi waache waibe wafanyeje sasa,li-nchi lenyewe halieleweki,nasema hivi bahata mbaya sijawa kiongozi serikalini,laiti nami ningebahatika ningechukua changu mapema hakuna nchi hapa,we zubaa tu,watu wanashangaa mbona nchi masikini na ina rasilimali kibao,jibu viongozi wanachukua vyao mapema,jiongeze..
Kwenda zako...Self hate inakusumbua, unahitaji tiba!
Nishaenda zangu kitambo tu mbona!!!!Kwenda zako...