AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Wewe una tabia za Kinyalugusu.

Kuja JF nikufunguka tayari, kama hutaki kufunguka kafie chini ya jiwe la kijijini kwenu.

Mimi nina roho generous, kuanzia kutoa misaada ya hela mpaka kufunguka.
Ngumbaru guluguja ambaye kajaa wivu na inferiority complex akikutana na mtu wa kuwa free kama mimi lazima anione tishio, anione natafuta ujiko.

Mimi sitafuti ujiko, ujiko unanitafuta mimi na naukimbia, ndiyo sababu nimekimbia afrika ambako najulikana sana nikaja kuishi Marekani ambako watu hawanijui sana.

Nimekimbia ujiko.

Ningekuwa nataka ujiko ningekuwa nakushikia akili hapo mjini.

Kama wewe umefanya kitambo au hujafanya sijali hata kujua, wewe unayeona mashindano hapa ndiye unayeona umuhimu wa kunitajia.

Get off my dilsnick already, I don't like faggots.
 

Duh!

Mara ya mwisho kupanda Aeroflot ilikuwa mwaka 1988 nikiwa dogo.

Nilipanda hapo DIA [kabla haijabadilishwa jina] na maza en route to the UK.

Layover ilikuwa Sheremetyevo. Layover ya zaidi ya masaa 24. Tukapata hadi fursa ya kwenda kutalii Red Square.

Hahahaaaa hivi bado inakuja Dar hiyo ndege.
 
Haya guluguja ngumbaru admissionletter huyu naye mwambie anajionesha.
 
Ooh Ok.....mbona kodi kubwa hivyoo?...na miji yote kwa hapo marekani tax bill inakuwa kubwa au inategemea na nyumba na nyumba?

Inategemea kama unakaa sehemu za matawi au uswazi, uswazi kodisi mbaya kwa sababu majalala,ila ukinunua nyumba sehemu nzuri states za watu wenye hela tunazokaa, hata hiyoafadhali, kuna watu wanalipa mara mbili ya hiyo.

Lakini na wao wamejipanga wanapiga sehemuhela ndefu kwa hiyo bila bila.
 
Haya guluguja ngumbaru admissionletter huyu naye mwambie anajionesha.

Mshikaji kapanda Aeroflot....hahahaaa.

Kanikbumbusha mbali sana aisee.

Back in the day that was like the go-to budget airline...with stops in Sana’a and Antananarivo...

I’ll never forget that experience.
 
Mshikaji kapanda Aeroflot....hahahaaa.

Kanikbumbusha mbali sana aisee.

Back in the day that was like the go-to budget airline...with stops in Sana’a and Antananarivo...

I’ll never forget that experience.
Yeye kapanda Aeroflot wakati watu wamepanda Aeroflot na Vale mtoto wa Gorbachev.

Anamjua Vale mtoto wa Gorbachev huyo?
 
Haaahaaahaa...uwiii
 

Mimi nasoma between the lines na sielewi unachoandika! Ngoja nikuache tu!
 
Nimekupata...kwa huyo mshkaji wako kulipa $17000 nahisi anatamani kuiuza!
 

Nilikuwa tu namunya huyo zuzu anayedhani yeye ni yeye!
Of course, Aeroflot hawapo tena
 
Haaahaaahaa...uwiii
Katika saikolojia kuna kitu kinaitwa "self- hatred", hii inakwenda mpaka kufikia "ethnic self-hatred".

Watu tunaokaa ughaibuni miaka mingi, inabidi tuwe waangalifu sana tusije kukutwa na hii hali ya "ethnic self-hatred".

Dalili za hii "ethnic self-hatred" ni dhana kama

1. Waswahili/ wabongo ni washenzi
2. Waswahili/ wabongo hawawezi kununua nyumba sehemu fulani, kusoma shule fulani, kufanya mambo fulani
3. Waswahili/Wabongo wakipewa nafasi fulani wataharibu
4. Waswahili/Wabongo wakifanya mambo fulani ambayo hawakutegemewa ni lazima wameiba, wameuza madawa
5. Hayo yote yanafikiriwa kama defult, bila ushahidi wala sababu yoyote ya kuzalisha shuku hizo

Narudia, AY hatujui habari zake, kama msanii, kutengeneza image ni kazi yake, kwa hiyo haitanishangaza kama ana pose tu na hajanunua huo mjengo.

Inawezekana kabisa.

Lakini, wastaarabu hawamu accuse mtu kitu bila ushahidi.

Mimi sitamuelewa mtu anayesema AY anadanganya, bila hata ya kuwa na ushahidi hata mdogo tu kwamba AY anaongopa.

Atupe ushahidi basi, tujiridhishe. Sasa mtu hana ushahidi wowte anabwata tu AY muongo, hawezi kununua huo mjengo.

Kama kashinda bahati nasibu jana? Kama kalipwa helazake na Tigo? Kama kachangisha watu wafanye deals zao?

Hii tabia ya ethnic hatred ni mbaya sana.

Sisi tunaokaa ughaibuni miaka mingi tujilinde ili tusiwe na ethnic hatred,hususan bila hata sababu ya kuhalalisha shuku hiyo.
 
Nimekupata...kwa huyo mshkaji wako kulipa $17000 nahisi anatamani kuiuza!
Jamaa anapiga hela ndefu, kila mwezi anapiga safari Europe toka US, kama si Germany basi Spain au vinchi nchi kibao hapo kati, na hukoa nakula per diem ndefu, nina hakika hakosi $8,000 kwenye ma per diem huko karibu kila mwezi, bado mshahara, kazini ni director, halafu anapangisha nyumba yake aliyohama, kwa hiyo hiyo $17,000 kwa mwaka haiwezi kumsumbua.
 
Au kama kasaini mkataba na Sony music? Asinunue mansion hapo California??
 
Hapo sawa.....let a guy enjoy to the fullest!
 
A birdbrained boondoggling bellicose bumpkin like you, of course.

We shukuru kuna hii on line com.
Tukikutana face to face hutafungua bakuli lako!! Utapinda tu na kutoa ushuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…