AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Write your reply...
mi mwenyewe huwa nawashangaa mabosi wa bongo, utakuta jamaa ana mkwanja halafu anaishi bongo, mi ngoja niendelee kujichanga trampuni lazima nikaishi yaani mamtoni, unyamwezini aaaahh
 
Self hate inakusumbua

We utakuwa na tofauti gani! na viongozi wa serikali wanaoiba hela za wananchi na kwenda kuzificha kwenye mabank ya wazungu!
 
Mi ndoto yangu ni kununua mjengo Peninsula, Dar es salaam.
 
Self hate inakusumbua

We utakuwa na tofauti gani! na viongozi wa serikali wanaoiba hela za wananchi na kwenda kuzificha kwenye mabank ya wazungu!
Kwani viongozi wa serikali wameanza kuiba leo??..wako sahihi waache waibe wafanyeje sasa,li-nchi lenyewe halieleweki,nasema hivi bahata mbaya sijawa kiongozi serikalini,laiti nami ningebahatika ningechukua changu mapema hakuna nchi hapa,we zubaa tu,watu wanashangaa mbona nchi masikini na ina rasilimali kibao,jibu viongozi wanachukua vyao mapema,jiongeze..
 
Self hate inakusumbua, unahitaji tiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…