warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
NDI! NDI! NDI!, Wahenga walisema Mapenzi ni kikohozi kuyaficha huyawezi, msemo huo ulijidhihirisha wazi kwa mastaa wawili, zamaradi mketema pamoja na boss wake ruge mtahaba, ambapo tetesi zilianza kuvuma kama moto wa kifuu kwa muda mrefu kuwa wawili hao wana share kitanda kimoja na shuka moja, hata hivyo tetesi hizo ziliendelea kwa muda mrefu bila wawili hao kuweka wazi kama ni kweli wanatoka pamoja au vipi, mpaka hivi karibuni makohozi yalipowazidia na kuamua kubanja maana sio kukohoa kule.
Habari ya mujini kwa sasa ni kuhusu mahusiano ya mastaa wawili, mtangazaji maarufu nchini wa kipindi cha mkasi, salama jabir pamoja na boss wake Ambwene yesaya aka AY ambaye ndiye mtayarishaji wa kipindi hicho cha mkasi, inasemekana wawili hao wanabanjuka kwa siri mno, huku baadhi ya wapenda ubuyu mujini wakijiuliza wawili hao wataficha mahusiano yao mpaka lini??