Tetesi: AY, Salama Jabir wekeni mambo hadharani

Tetesi: AY, Salama Jabir wekeni mambo hadharani

Mimi najiuliza tu wakati wa kubanjuka inakuwaje?
Hivi Salama akiwa na huyo AY huwa anajiweka kijike jike? (like babes this and that)
Mhhhhhh vyumba vina siri sana.

Mtoto Kama yule Ana side B yake.mtekee afu bonge la deko
 
Huyo atakuwa mwanaume wa wapi anaongea mambo ya faragha kwenye kadamnasi?
Mtanzania huyo halafu kuna siku alikuja akanipa story kama uume wake hausimami kisa alitaka kutembea na demu ana jini mahaba.
 
Mtanzania huyo halafu kuna siku alikuja akanipa story kama uume wake hausimami kisa alitaka kutembea na demu ana jini mahaba.

Be careful labda anataka ummendee huyo.
 
Hapana ni mwanaume shababi lakini akili zake sijui zikoje. ila kwa sasa ameshaowa ametulia sana na amekwenda nchi za uarabuni.

Kuoa sio shida wangese wengi wamejificha kwenye mwamvuli wa ndoa. Na huko alikokwenda mbona unaleta evidence zote za kesi bila ufahamu?
 
Kuoa sio shida wangese wengi wamejificha kwenye mwamvuli wa ndoa. Na huko alikokwenda mbona unaleta evidence zote za kesi bila ufahamu?
Hio ni kweli kuowa sio shani, lakini huyu mshkaji yupo rijali kabisa namjua vyema tu. manake kishataka kuwatafuna baadhi ya mademu wangu ila aliwakosa, nikamla demu wake mmoja na mwengine alinifuma nae ikaja kuwa ugomvi si mdogo. lakini sikujua mpaka tulipokuwa mazoezini boxing alileta fujo ndio nikajua kama jamaa kaishtukia ishu kama nimemmega demu wake. Na huko uarabuni amekwenda Qatar anafanya kazi ya security.
 
Back
Top Bottom