Ayaaa! Time hii ninavyoandika hapa ndo nimejua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Ayaaa! Time hii ninavyoandika hapa ndo nimejua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Ninavyoandika ujumbe huu ndo nimegundua Leo ni siku yangu ya kuzaliwa daah, any way happy birthday to me
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe tupo wengi tunaoisahau siku hii!!?
[HASHTAG]#Happy[/HASHTAG] birthday to you#
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe tupo wengi tunaoisahau siku hii!!?
[HASHTAG]#Happy[/HASHTAG] birthday to you#
Kuna mtu kaniambia anaikumbukaga mwezi Kabla
Ila yeye ni wa kike
 
Hbd mwaya [emoji512] [emoji485] [emoji490] [emoji490] [emoji490]
 
Mungu akupe kheri, uishi maisha marefu na yenye kumpendeza yeye
 
Ukiona unasahau ujue hujaishi hivyo Huna change kurekodi! Hongera kwa kuongeza namba kwenye miaka! !
 
aise umeikumbuka cku yako yakuja uchi duniani!
 
1475430680137.jpg
 
Back
Top Bottom