Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Shimoni wakati Trump ndio anahangaika kupiga simu?!Hapokei anakuwa kajificha shimoni
Mpigie jamaa yako mwambie Trump analia huku hapokei simu ππAyatollah ni jaamaa yangu bhana.
Mi nataka asiipokee.Mpigie jamaa yako mwambie Trump analia huku hapokei simu ππ
Ila tambua hao ni mashia kwahiyo sio waislamuShimoni wakati Trump ndio anahangaika kupiga simu?!
Yani hapo nisawa na demu ulishafanikisha malengo yako then anajileta tena kamiss show πππ
Ali Khomen ni nani au unamaanisha Ali Khamenei dikteta wa kigaidi wa Iran?Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini Trump amejaribu kumpigia simu Ayatollah Ali Khomen, na hataki hata kumsikia Trump.
Hatuna bidi tunabidi Tuwasiliane na Waziri wa mambo ya nje tu.
View: https://youtube.com/shorts/Q_1bx8VzXGk?si=jTKRps_Bpi1o4fqm
Sawa,Ila tambua hao ni mashia kwahiyo sio waislamu
Ni makafiri kama iranSawa,
Kwani Israel ni wakristo?
It's very simple, just like you, he doesn't understand English so how can he answer the call?πππHe donβt want to waste time on answering Trump π
View: https://youtube.com/shorts/2Ar56CdWJAw?si=YOfuAXE-zxoIQKkX
Ayatollah Ali Khomeni ndiyo nani? Jina hili limekuwa geni kwangu au huyu naye ni Mtoto wa Ayatollah Khomeini??? Wafuga Midevu na Majini naomba muongozo wenu!!!Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini Trump amejaribu kumpigia simu Ayatollah Ali Khomen, na hataki hata kumsikia Trump.
Hatuna bidi tunabidi Tuwasiliane na Waziri wa mambo ya nje tu.
View: https://youtube.com/shorts/Q_1bx8VzXGk?si=jTKRps_Bpi1o4fqm
Akikujibu nitag π€£π€£Sawa,
Kwani Israel ni wakristo?