Ayatollah Khameneei alivyoeleza maana ya 'Death to America'

Ayatollah Khameneei alivyoeleza maana ya 'Death to America'

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Msikilile Ayatollah akielezea maana ya "death to Amerika" halafu kuna watu wanamtetea kwamba alikuwa mtu wa amani na kwamba kaonewa, ilikuwa ni sawa kum-eliminate kwa maana yeye ndiye aliyeanza ..

============

Iranians will chant "Death to America" as long as Washington continues its hostile policies, but the slogan is directed at President Donald Trump and U.S. leaders, not the American nation, Iran's supreme leader said on Feb. 8, 2019.

"As long as America continues its wickedness, the Iranian nation will not abandon 'Death to America'," Ayatollah Ali Khamenei told a gathering of Iranian Air Force officers marking the 40th anniversary of Iran's Islamic Revolution, according to his official website.

Trump pulled out of Iran's 2015 nuclear deal with world powers last year and re-imposed sanctions on Tehran, dealing a blow to the country's economy. European signatories of the nuclear deal have been trying to save the accord, but Khamenei said they could not be trusted.

The European Union has stepped up criticism of Iran's ballistic missiles programme while remaining committed to the 2015 nuclear deal.

Source: Global news
 
unaweza kufafanua? huyo ayatola watu wanamuona kama victim lkn hakuwa hivyo jinsi baadhi ya watu wanavyodanganywa, he was a violent man ...

Hii Dunia kabla ya Marekani kuwa kwenye power ilikuwa inaendeshwa kibabe sana.
Mwenye nguvu ndiye anastahili vitu vizuri.

Hapakuwa na hayo mambo ya sijui karma sijui imani ya siku za mwisho.

Unavamiwa unauawa na familia yako na Dunia inaendelea kama hakuna kilichotokea
 
Ndio maana chini ya utawala wa marekani lissu yupo ndani siku 200 sasa, angalikua hayupo marekani Lissu angalikua hayupo tena duniani?
 
ndiyo mtambue ya kwamba bila ya Christianity hii dunia itagekuwa ni jehanamu, kuna watu wanapambana na wengi wao bila ya kujua kutaka kubomoa Christianity lkn hawajui kama wakifanikiwa basi satanist ndiyo watatawala kama tu tanzagiza wenye nguvu ndiyo ana haki ya kula, kuishi, kuoa na kuendeleza kizazi, sasa fikiria version ya tanzagiza ndiyo iwe norm ya kidunia ...
 
Ndio maana chini ya utawala wa marekani lissu yupo ndani siku 200 sasa, angalikua hayupo marekani Lissu angalikua hayupo tena duniani?

Kama sio Marekani huyo Lisu angekuwa ameshakufa siku nyingi.

Pasingekuwa na uhuru wa kuabudu
Demokrasia
Hata Tanzania isingekuwepo.

Kiufupi Marekani watu wanapaswa waishukuru sana.

Lakini kwa vile watu wengi hawaijui historia ya Dunia wengi watabishq
 
ndiyo mtambue ya kwamba bila ya Christianity hii dunia itagekuwa ni jehanamu, kuna watu wanapambana na wengi wao bila ya kujua kutaka kubomoa Christianity lkn hawajui kama wakifanikiwa basi satanist ndiyo watatawala kama tu tanzagiza wenye nguvu ndiyo ana hakia ya kula, kuishi, kuoa na kuendeleza kizazi, sasa fikiria version ya tanzagiza ndiyo iwe norm ya kidunia ...

Hapana Mkuu wala sio ishu ya ukristo

Ukristo wa ulaya kuanzia kipindi cha Dola la roma ulikuwa na matendo ya kikatili sana.
Mpaka kipindi cha dola za ulaya kama uingereza, ufaransa, ujerumani n.k. ukristo ulikuwa na matendo ya kikatili.

Kuibuka kwa Amerika na masuala yq uhuru na haki za binadamu ndio kumepelekea Dunia itulie kwa kiasi
 
Kama sio Marekani huyo Lisu angekuwa ameshakufa siku nyingi.

Pasingekuwa na uhuru wa kuabudu
Demokrasia
Hata Tanzania isingekuwepo.

Kiufupi Marekani watu wanapaswa waishukuru sana.

Lakini kwa vile watu wengi hawaijui historia ya Dunia wengi watabishq
Tunaomba marekani atengeneze technology ya kuzuia wananchi wake waishi duniani maisha yote pamoja na washirika wake Isreal, akurushie na wewe mpiga propaganda wake
 
ilikuwa ni sawa kum-eliminate kwa maana yeye ndiye aliyeanza ..
Inaonekana hujui historia, iran imeanza kuhujumiwa tokea 1950s pale ilipoonekana serikali ya waziri mkuu Mohammed mosadegh kuleta maendeleo makubwa baada ya kutaifisha uchimbaji mafuta.

Ndio US ikamtumia kiongozi mkuu (Shah) Mohamed Reza kumtoa Mosadegh na kuwa kibaraka wa USA. hapo sijasema ushiriki wa US kumsaidia Iraq kuuwa maelfu ya wairan. Sijaongelea vikwazo walivyowekewa Iran kwa zaidi ya miaka 50 sasa baada ya kumuondosha kibaraka wa USA Mohammed reza na kuweka utawala wa kizalendo tokea 1979.

Basically Marekani ndio alianza uchokozi.
 
Kama sio Marekani huyo Lisu angekuwa ameshakufa siku nyingi.

Pasingekuwa na uhuru wa kuabudu
Demokrasia
Hata Tanzania isingekuwepo.

Kiufupi Marekani watu wanapaswa waishukuru sana.

Lakini kwa vile watu wengi hawaijui historia ya Dunia wengi watabishq
We ndio hujui chochote, ungejua ujinga waliofanya USA kuanzia Asia, Amerika ya kusini mpaka Afrika usinge wapongeza hata.

Hata ugaidi tu umeasisiwa na USA, na ona unavyotesa dunia. Na unadai kabla ya USA nchi zilikua zinavamiwa bila utaratibu na USA kakomesha bila kujua USA ameshahusika kwenye vamizi na mapinduzi nchi zaidi ya 100!! Nitajie dola gani katika historia imevuruga nchi nyingi hivyo.

Bila kusahau nchi pekee ambayo imetumia silaha za maangamizi vitani ni USA kupitia atomic bombs alizorusha Japan bila kusahau chemical weapons alizotumia kuua mamilion huko Vietnam, Philipines na Cambodia.

Jifunze historia
 
We ndio hujui chochote, ungejua ujinga waliofanya USA kuanzia Asia, Amerika ya kusini mpaka Afrika usinge wapongeza hata.

Dunia bila USA isingekuwa hivi ilivyo. Ingekuwa mbaya kuliko unavyoiona hivi.
Nawapongeza kwa sababu wao angalau ndio dola pekee lililoweza kuiweka Dunia ikiwa angalau inautulivu na bado inajitahidi kufanya hivyo.

Hata ugaidi tu umeasisiwa na USA, na ona unavyotesa dunia. Na unadai kabla ya USA nchi zilikua zinavamiwa bila utaratibu na USA kakomesha bila kujua USA ameshahusika kwenye vamizi na mapinduzi nchi zaidi ya 100!! Nitajie dola gani katika historia imevuruga nchi nyingi hivyo.

Ugadi upi? Ugaidi wa kina Mbowe au ule wa Alkaidi, alshabab na Boko haramu? Au Ugaidi kwa tafsiri ya nani?

Bila kusahau nchi pekee ambayo imetumia silaha za maangamizi vitani ni USA kupitia atomic bombs alizorusha Japan bila kusahau chemical weapons alizotumia kuua mamilion huko Vietnam, Philipines na Cambodia.

Jifunze historia

Sasa kwenye vita ulitegemea watu watumie silaha gani?

Unafikiri zamani kulikuwa na katazo la kutumia silaha fulani?
Hiyo atomic bombs wakati inapigwa ni sheria ipi ya wakati huo ilivunjwa?

Hizo sheria za umoja wa mataifa unajua karibu zote zimetungwa na haohao Wamarekani kama kinara wa Dunia?
 
Hizo sheria za umoja wa mataifa unajua karibu zote zimetungwa na haohao Wamarekani kama kinara wa Dunia?
Sio kweli, ustaarabu ulishakuwepo tokea age of reconnaissance hadi kufikia kuundwa taasisi kama UN waliita concert of Europe chini ya Prince Metternich iyokua inamaliza vita kwa mazungumzo. Kwahiyo sio kweli ustaarabu uliletwa na USA in fact hao US ndio wametekeleza genocide kubwa katika historia. Hao wamarekani waliua wenyeji halisi wa USA yaani "wamarekani wekundu" kwa mamilioni. So hata hao US walifundishwa ustaarabu na ufaransa ambayo ndio iliwapa askari kuondoa utawala wa malkia na kuanzisha democracy.
 
Unafikiri zamani kulikuwa na katazo la kutumia silaha fulani?
Hiyo atomic bombs wakati inapigwa ni sheria ipi ya wakati huo ilivunjwa?
Sheria zilikuwepo, kuanzia Geneva convention mpaka Hague convention 1907 zote zilikua zinalinda raia wa kawaida dhidi ya kuuwawa kwenye vita. Marekani kwa maksudi kabisa ilitupa mabomu yenye raia wengi na sio tu kuua watu bali ilizalisha saratani ambayo mpaka leo zinawatesa wakazi wa huko.
 
Sio kweli, ustaarabu ulishakuwepo tokea age of reconnaissance hadi kufikia kuundwa taasisi kama UN waliita concert of Europe chini ya Prince Metternich iyokua inamaliza vita kwa mazungumzo. Kwahiyo sio kweli ustaarabu uliletwa na USA in fact hao US ndio wametekeleza genocide kubwa katika historia. Hao wamarekani waliua wenyeji halisi wa USA yaani "wamarekani wekundu" kwa mamilioni. So hata hao US walifundishwa ustaarabu na ufaransa ambayo ndio iliwapa askari kuondoa utawala wa malkia na kuanzisha democracy.

Hapana unakosea
Hiyo age ya age of reconnaissance hakukuwa na ustaarabu wowote. Ukisoma historia mpaka huko ulaya kulikuwa pakihuni sana. Tawala nyingi zilikuwa za kifalme, hapakuwa na demokrasia wala haki za binadamu.
Ndio kipindi hichohicho mambo ya utumwa yalipamba moto na ukoloni usemeje kulikuwa na ustaarabu?

Hiyo UN hapo nyuma ilikuwa League of Nation. Hili unalijua. Na bado ilianzishwa na haohao Wamarekani

Hoja ya Wenyeji wa Amerika hiyo ni hoja nyingine.

Hiyo America ilivamiwa kipindi hichohicho unachokiita cha age of reconnaissance alafu unasema ndio kulikuwa na ustaarabu.

Bila Waamerika hata uhuru wa kuabudu usingekuwepo,
Ubabe ubabe ungekuwa mwingi sana.

Dola pekee lililoleta maendeleo duniani ni Dola la Amerika. Hilo liko wazi.
 
Sheria zilikuwepo, kuanzia Geneva convention mpaka Hague convention 1907 zote zilikua zinalinda raia wa kawaida dhidi ya kuuwawa kwenye vita. Marekani kwa maksudi kabisa ilitupa mabomu yenye raia wengi na sio tu kuua watu bali ilizalisha saratani ambayo mpaka leo zinawatesa wakazi wa huko.

Hizo sheria hazitumiki popote hasa mkubwa anapoguswa.
Hizo sheria zimewekwa kwaajili ya nchi kama zenu.

Huko Geneva waliokuwepo ni Wazungu ambao ndio haohao wapo America.
 
Back
Top Bottom