unaweza kufafanua? huyo ayatola watu wanamuona kama victim lkn hakuwa hivyo jinsi baadhi ya watu wanavyodanganywa, he was a violent man ...
Ndio maana wenye silaha wakaua kama kuku 29 octoberNilichojifunza hii Dunia ni kama mbugani tuu.
Ndio maana chini ya utawala wa marekani lissu yupo ndani siku 200 sasa, angalikua hayupo marekani Lissu angalikua hayupo tena duniani?Hii Dunia kabla ya Marekani kuwa kwenye power ilikuwa inaendeshwa kibabe sana.
Mwenye nguvu ndiye anastahili vitu vizuri.
Hapakuwa na hayo mambo ya sijui karma sijui imani ya siku za mwisho.
Unavamiwa unauawa na familia yako na Dunia inaendelea kama hakuna kilichotokea
Hii Dunia kabla ya Marekani kuwa kwenye power ilikuwa inaendeshwa kibabe sana.
Mwenye nguvu ndiye anastahili vitu vizuri.
Hapakuwa na hayo mambo ya sijui karma sijui imani ya siku za mwisho.
Unavamiwa unauawa na familia yako na Dunia inaendelea kama hakuna kilichotokea
Ndio maana chini ya utawala wa marekani lissu yupo ndani siku 200 sasa, angalikua hayupo marekani Lissu angalikua hayupo tena duniani?
Ndio maana wenye silaha wakaua kama kuku 29 october
ndiyo mtambue ya kwamba bila ya Christianity hii dunia itagekuwa ni jehanamu, kuna watu wanapambana na wengi wao bila ya kujua kutaka kubomoa Christianity lkn hawajui kama wakifanikiwa basi satanist ndiyo watatawala kama tu tanzagiza wenye nguvu ndiyo ana hakia ya kula, kuishi, kuoa na kuendeleza kizazi, sasa fikiria version ya tanzagiza ndiyo iwe norm ya kidunia ...
Na Dunia inaendelea kama hakuna kilichotokea
Tunaomba marekani atengeneze technology ya kuzuia wananchi wake waishi duniani maisha yote pamoja na washirika wake Isreal, akurushie na wewe mpiga propaganda wakeKama sio Marekani huyo Lisu angekuwa ameshakufa siku nyingi.
Pasingekuwa na uhuru wa kuabudu
Demokrasia
Hata Tanzania isingekuwepo.
Kiufupi Marekani watu wanapaswa waishukuru sana.
Lakini kwa vile watu wengi hawaijui historia ya Dunia wengi watabishq
Tunaomba marekani atengeneze technology ya kuzuia wananchi wake waishi duniani maisha yote pamoja na washirika wake Isreal, akurushie na wewe mpiga propaganda wake
Inaonekana hujui historia, iran imeanza kuhujumiwa tokea 1950s pale ilipoonekana serikali ya waziri mkuu Mohammed mosadegh kuleta maendeleo makubwa baada ya kutaifisha uchimbaji mafuta.ilikuwa ni sawa kum-eliminate kwa maana yeye ndiye aliyeanza ..
We ndio hujui chochote, ungejua ujinga waliofanya USA kuanzia Asia, Amerika ya kusini mpaka Afrika usinge wapongeza hata.Kama sio Marekani huyo Lisu angekuwa ameshakufa siku nyingi.
Pasingekuwa na uhuru wa kuabudu
Demokrasia
Hata Tanzania isingekuwepo.
Kiufupi Marekani watu wanapaswa waishukuru sana.
Lakini kwa vile watu wengi hawaijui historia ya Dunia wengi watabishq
We ndio hujui chochote, ungejua ujinga waliofanya USA kuanzia Asia, Amerika ya kusini mpaka Afrika usinge wapongeza hata.
Dunia bila USA isingekuwa hivi ilivyo. Ingekuwa mbaya kuliko unavyoiona hivi.
Nawapongeza kwa sababu wao angalau ndio dola pekee lililoweza kuiweka Dunia ikiwa angalau inautulivu na bado inajitahidi kufanya hivyo.
Hata ugaidi tu umeasisiwa na USA, na ona unavyotesa dunia. Na unadai kabla ya USA nchi zilikua zinavamiwa bila utaratibu na USA kakomesha bila kujua USA ameshahusika kwenye vamizi na mapinduzi nchi zaidi ya 100!! Nitajie dola gani katika historia imevuruga nchi nyingi hivyo.
Ugadi upi? Ugaidi wa kina Mbowe au ule wa Alkaidi, alshabab na Boko haramu? Au Ugaidi kwa tafsiri ya nani?
Bila kusahau nchi pekee ambayo imetumia silaha za maangamizi vitani ni USA kupitia atomic bombs alizorusha Japan bila kusahau chemical weapons alizotumia kuua mamilion huko Vietnam, Philipines na Cambodia.
Jifunze historia
Sio kweli, ustaarabu ulishakuwepo tokea age of reconnaissance hadi kufikia kuundwa taasisi kama UN waliita concert of Europe chini ya Prince Metternich iyokua inamaliza vita kwa mazungumzo. Kwahiyo sio kweli ustaarabu uliletwa na USA in fact hao US ndio wametekeleza genocide kubwa katika historia. Hao wamarekani waliua wenyeji halisi wa USA yaani "wamarekani wekundu" kwa mamilioni. So hata hao US walifundishwa ustaarabu na ufaransa ambayo ndio iliwapa askari kuondoa utawala wa malkia na kuanzisha democracy.Hizo sheria za umoja wa mataifa unajua karibu zote zimetungwa na haohao Wamarekani kama kinara wa Dunia?
Sheria zilikuwepo, kuanzia Geneva convention mpaka Hague convention 1907 zote zilikua zinalinda raia wa kawaida dhidi ya kuuwawa kwenye vita. Marekani kwa maksudi kabisa ilitupa mabomu yenye raia wengi na sio tu kuua watu bali ilizalisha saratani ambayo mpaka leo zinawatesa wakazi wa huko.Unafikiri zamani kulikuwa na katazo la kutumia silaha fulani?
Hiyo atomic bombs wakati inapigwa ni sheria ipi ya wakati huo ilivunjwa?
Sio kweli, ustaarabu ulishakuwepo tokea age of reconnaissance hadi kufikia kuundwa taasisi kama UN waliita concert of Europe chini ya Prince Metternich iyokua inamaliza vita kwa mazungumzo. Kwahiyo sio kweli ustaarabu uliletwa na USA in fact hao US ndio wametekeleza genocide kubwa katika historia. Hao wamarekani waliua wenyeji halisi wa USA yaani "wamarekani wekundu" kwa mamilioni. So hata hao US walifundishwa ustaarabu na ufaransa ambayo ndio iliwapa askari kuondoa utawala wa malkia na kuanzisha democracy.
Sheria zilikuwepo, kuanzia Geneva convention mpaka Hague convention 1907 zote zilikua zinalinda raia wa kawaida dhidi ya kuuwawa kwenye vita. Marekani kwa maksudi kabisa ilitupa mabomu yenye raia wengi na sio tu kuua watu bali ilizalisha saratani ambayo mpaka leo zinawatesa wakazi wa huko.