zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Wewe binafsi umesema US ndio imeleta ustaarabu wa kuzuia vamizi na matumizi ya silaha na hapa unahalalisha tena matumizi ya silaha yoyote? Huoni unakinzana.Sasa kwenye vita ulitegemea watu watumie silaha gani?
Wewe binafsi umesema US ndio imeleta ustaarabu wa kuzuia vamizi na matumizi ya silaha na hapa unahalalisha tena matumizi ya silaha yoyote? Huoni unakinzana.
Why unasema ni hoja nyingine wakati wameua wenyeji mamilioni sasa wanakuaje tena ndio wastaarabu na wana-demokrasia?Hoja ya Wenyeji wa Amerika hiyo ni hoja nyingine.
Nimekutajia wazi concert of Europe ambayo ndio ilikua kilele cha age of reconnaissance yaani ustaarabu ulipoanzia. Na ndio miaka hiyo ya 1800 mwanzoni diplomasia ilikua juu kuliko wakati wowote ule duniani. Na hao ni zao la Vienna conference iliyoanzishwa kumaliza hizo Napoleionic wars ambazo ziliitesa dunia kipindi kile.Hapana unakosea
Hiyo age ya age of reconnaissance hakukuwa na ustaarabu wowote. Ukisoma historia mpaka huko ulaya kulikuwa pakihuni sana. Tawala nyingi zilikuwa za kifalme, hapakuwa na demokrasia wala haki za binadamu.
Ndio kipindi hichohicho mambo ya utumwa yalipamba moto na ukoloni usemeje kulikuwa na ustaarabu?
Hiyo UN hapo nyuma ilikuwa League of Nation. Hili unalijua. Na bado ilianzishwa na haohao Wamarekani
Hoja ya Wenyeji wa Amerika hiyo ni hoja nyingine.
Hiyo America ilivamiwa kipindi hichohicho unachokiita cha age of reconnaissance alafu unasema ndio kulikuwa na ustaarabu.
Bila Waamerika hata uhuru wa kuabudu usingekuwepo,
Ubabe ubabe ungekuwa mwingi sana.
Dola pekee lililoleta maendeleo duniani ni Dola la Amerika. Hilo liko wazi.
Why unasema ni hoja nyingine wakati wameua wenyeji mamilioni sasa wanakuaje tena ndio wastaarabu na wana-demokrasia?
Kumbuka pia marekani ilipiga kura ya kukataa kutambua biashara ya utumwa wa waafrika kama uhalifu dhidi ya binadamu. Na hao ndio unawasifia kwa kuleta ustaarabu?
Usisahau pia hao US ndio walianzisha ukoloni mamboleo ambapo walitoa uhuru kwa nchi za Afrika ili kuja kuzitawala kwa mlango wa nyuma na mfiano unaijua kuanzia Angola, DRC, mpaka Libya. Hii ndio misingi ya demokrasia unayowasifia?
Unajichanganya sasa, nchi iliyoanzisha Nuclear bomb, Ugaidi, na kuvamia nchi nyingi kuliko taifa lolote tokea dunia kuumbwa inakuaje tena ndio imeleta ustaarabu?Ndio tafsiri ya vita. Vita haichagui silaha
Hizo zingine ni ulaghai
Kama wanavyofanya US Kutumia propaganda kuzuia wanaojitoa mhanga kama mbinu ya kuwaadhibu Marekani kwa Kuwaiti magaidi.
Duniani hakunaga ugaidi.
Vita ni Vita.
Ustaarabu ni kweli bila Amerika leo hii tusingekuwa hapa hilo wala halina mjadala.
Marekani anaudhalimu wake lakini kwenye ubora wake hapo huwezi mtoa
China mbona imefika hivi nchi gani dunia hii haitumii product za China kuanzia madawa, teknolojia, engineering, etc. Pia Germany inaweza, uingereza ilifanikiwa kipindi chake, Japan ina mchango mkubwa kama Russia iliyosaidia sana nchi za Afrika na amerika ya kusini na Asia hasa kupata uhuru na kujitegemea kiuchumi, kisayansi na kimaendeleo.Unafikiri ni taifa gani sasa hivi linaweza kufikia walau robo ya mafanikio ya amerika dunia kama lingekuwa Supaerpowe
Nimekutajia wazi concert of Europe ambayo ndio ilikua kilele cha age of reconnaissance yaani ustaarabu ulipoanzia. Na ndio miaka hiyo ya 1800 mwanzoni diplomasia ilikua juu kuliko wakati wowote ule duniani. Na hao ni zao la Vienna conference iliyoanzishwa kumaliza hizo Napoleionic wars ambazo ziliitesa dunia kipindi kile.
Nashangaa unaona league of nations ndio organ ya kwanza wakati zilishakuwepo nyingi tokea enzi za Prince Metternich wa Austria.
China mbona imefika hivi nchi gani dunia hii haitumii product za China kuanzia madawa, teknolojia, engineering, etc. Pia Germany inaweza, uingereza ilifanikiwa kipindi chake, Japan ina mchango mkubwa kama Russia iliyosaidia sana nchi za Afrika na amerika ya kusini na Asia hasa kupata uhuru na kujitegemea kiuchumi, kisayansi na kimaendeleo.
Unakosea kusema ndio wameleta ustaarabu ilihali ndio wameharibu ustaarabu. Kiufupi walichofanikiwa ni kuzuia wengine kufanya ili wao wafanye wenyeweKwa hiyo, kukiri mchango wa Marekani si kuhalalisha makosa yake, na kukosoa makosa yake si kufuta mchango wake. Historia inapaswa kuangaliwa kwa mizani, si kwa upande mmoja tu.
Unakosea kusema ndio wameleta ustaarabu ilihali ndio wameharibu ustaarabu. Kiufupi walichofanikiwa ni kuzuia wengine kufanya ili wao wafanye wenyewe
Ni sawa na kumsifia jambazi kuu kuzuia majambazi wengine kuiba ili aibe mwenyewe tu. Hii tunaita controlling the narrative ila sio kuleta ustaarabu ila ni kwamba wamehodhi kuvunja sheria, kuvamia nchi na kufanya ugaidi.
Kivipi haulingani, actually imports kubwa zaidi USA zinatoka China ikimaanisha USA inategemea China kupata bidhaa na huduma. By the way China mpaka imeikopesha marekani na inadai matrillion ya dollar kila mwaka je kuna nchi nyingine inadaiwa na China kuliko USA? Yaani kwa Pesa za Tanzania ni Trillion 1,730!!!Mchango wao upo lakini hauwezi kulingana na mchango wa Amerika
Hapana hiyo ni export services sio kwamba hakuna fursa, hata USA ina viwanda vingi sana China sababu ni nafuu kuzalisha China kuliko Marekani. Hata IPhone tu inakuwa assembled viwanda vya huko China. Hapo sijaongelea micro chips, drone technologies, telecommunications, robotics, na wanatengeneza mambo makubwa kwa bei ndogo alafu unasemaje haina mchango au fursa?Ndio maana hata wao China wenyewe wanakimbilia Amerika kutafuta fursa. Hiyo pekee inaweza kukuonyesha Marekani ni kitu gani.
Sio kweli, hata Democracy Index score inayopima nchi zenye kusimamia demokrasia hiyo USA ni ya 34 (Flawed democracy) ikimaanisha kuna nchi 33 zenye kusimamia misingi 11 ya demokrasia kuliko USA. We unatoa wapi taarifa kuwa US ndio kinara wa demokrasia?Ustaarabu na Haki za binadamu Marekani ndiye kinara hilo halina ubishi.
Kivipi haulingani, actually imports kubwa zaidi USA zinatoka China ikimaanisha USA inategemea China kupata bidhaa na huduma. By the way China mpaka imeikopesha marekani na inadai matrillion ya dollar kila mwaka je kuna nchi nyingine inadaiwa na China kuliko USA? Yaani kwa Pesa za Tanzania ni Trillion 1,730!!!
Hapa sijaongelea Afrika, Asia , Ulaya ambapo hakuna nchi haitumii bidhaa za China.
Hapana hiyo ni export services sio kwamba hakuna fursa, hata USA ina viwanda vingi sana China sababu ni nafuu kuzalisha China kuliko Marekani. Hata IPhone tu inakuwa assembled viwanda vya huko China. Hapo sijaongelea micro chips, drone technologies, telecommunications, robotics, na wanatengeneza mambo makubwa kwa bei ndogo alafu unasemaje haina mchango au fursa?
Sio kweli, hata Democracy Index score inayopima nchi zenye kusimamia demokrasia hiyo USA ni ya 34 (Flawed democracy) ikimaanisha kuna nchi 33 zenye kusimamia misingi 11 ya demokrasia kuliko USA. We unatoa wapi taarifa kuwa US ndio kinara wa demokrasia?
Kama ulikua hujui USA ndio ina highest jail population duniani almost 20 Million ni wafungwa yaani hata China na udikteta wote haifungi watu hivyo na wewe ndio unawaita vinara wa demokrasia?
Zipo kibao, Australia, Canada, Germany, Uingereza, Austria, Japan, Norway, Denmark, Norway na France, zote hizi ndio zina demokrasia ya kweli huku USA ikitupwa nafasi ya 34. na wala haipo kwenye kundi la nchi zenye Full demokrasia bali Flawed democracies yaani demokrasia yenye mashaka.Kuna ustaarabu zaidi ya haki za binadamu?
Uhuru wa watu kuabudu.
Haki za wanawake sio kama nchi zingine wanawachukulia wanawake kama watumwa na kuwapa mastering yasiyo na kichwa wala miguu.
Haki za watoto
Kutokomeza ubaguzi wa rangi.
Haki za wafanyakazi.
Ni nchi gani unaweza kuilinganisha na USA kwa ustaarabu walau inayofikia nusu yake?
Taja mataifa makubwa unayoyajua.
Zipo kibao, Australia, Canada, Germany, Uingereza, Austria, Japan, Norway, Denmark, Norway na France, zote hizi ndio zina demokrasia ya kweli huku USA ikitupwa nafasi ya 34. na wala haipo kwenye kundi la nchi zenye Full demokrasia bali Flawed democracies yaani demokrasia yenye mashaka.
Tuongee kwa data sio maoni
The Economist Group - EIU Democracy Index 2025: democracy stabilises after eight years of decline
Following eight years of decline, 2025 marks a stabilisation of democracy scores that suggests an end to the global democratic recession.www.economistgroup.com
Nimekuwekea data, au unataka za benki ya dunia pia? Ya hao hao wamarekaniKwenye suala ustaarabu na haki hakuna taifa mpaka muda huu linaizidi amerika
Wanaenda kwa sababu za kiuchumi sio sababu ya demokrasia. Hivi marekani si ndio hio inafukuza wahamiaji, inaongoza kwa mauaji duniani (homicide), pia inaongoza kwa wafungwa duniani.Unafikiri kwa nini hao wachina, waarabu, wahindi, wajapan na waafrika kwa nini wanataka kwenda kufanya kazi Amerika kuliko maeneo mengine?
Nimekuwekea data, au unataka za benki ya dunia pia? Ya hao hao wamarekani
https://data360.worldbank.org/en/dataset/EIU_DI
Naomba nikuulize niwaamini benki ya dunia na The economist au nikuamini wewe??
Wanaenda kwa sababu za kiuchumi sio sababu ya demokrasia. Hivi marekani si ndio hio inafukuza wahamiaji, inaongoza kwa mauaji duniani (homicide), pia inaongoza kwa wafungwa duniani.
Actually ukiwa muarabu au mweusi una asilimia kubwa za kuuwawa au kuwekwa jela na ndio iliozaa kampeni ya black lives matter. Na inaongoza kwa ubaguzi wa rangi na jinsia kwa sababu jamii kubwa ni conservatives. Tafiti kibao na hii moja wapo iliwekwa na CNN ipitie alafu uniambie mweusi au muarabu gani anakua safe marekani.
The same unaweza sema kuhusu UN unayoisifia ipo kwa maslahi ya mabeberu au ina faida gani hiyo UN kwa nchi maskini? Hata Benki ya dunia, ICC zote hizo ni kulinda maslahi ya mabeberu na kukandamiza nchi maskini.Lakini hiyo concert ilikuwa kwa maslahi ya mabeberu. Sio kwaajili ya ustaarabu wa dunia na watu wote. Weka kichwani hiyo.
Ustaarabu ni gradual (taratibu) sio rapid event (haraka) kwahiyo unahitaji vizazi mpaka 10 kuelewa na kusimamia misingi ya demokrasia. Ndio maaa ufaransa walipindua mfalme 1789 na kuanzisha katiba, mahakama huru n.k ila mpaka inakuwa demokrasia iliyokomaa kabisa ni zaidi ya miaka 200 baadae ila mchakato ulianza miaka ya nyuma mnoo.Congress of Vienna ilifanyika karibu miaka 300 baadaye. Ni mbali sana. Miaka 300 ni mingi sana Mkuu
Ndio ni ustaarabu sababu huko nyuma wangepigania makoloni ila kuweza kuyagawa mezani bila vita ni ustaarabu. Hata UN tu imeshindwa zuia vita za Gaza, Iran, lebanon, Sudan, Ukraine etc kwahiyo haina la kuwazidi Concert of Europe au Berlin conference.Ndio baadaye kinakuja kile cha Berlin conference. Sijui kama unaelewa hayo mambo. Au kwako huo ndio ustaarabu.
Hii hamna kitu, hawa si ndio walishindwa msaidia mwanachama wao Haile selassie alipovamiwq na italia? Hii nayo yale yale sielewi hata unachoona ilikua "international" kuliko concert of Europe ni nini?lakini League of Nations
Hapana ni maslahi ya VETO powers pekee ndio maana waafrika walipodai biashara ya utumwa itambulike kama crime against humanity marekani na Israel walikataa kabisa na hoja ya madai ikafia hapoKingine unachoshindea kuelewa yote hayo yanaanzishwa sio kwa sababu ya maslahi ya wakubwa. Marekani lakini faida kubwa ni kuwa Marekani yeye utawala wake hata mataifa madogo yanapatemo kidogo na yanakuwa na uhuru.
Canada, Japan, Germany, Norway, France, Denmark, Uingereza na zingine kibao ila USA ni ya 34 na haipo kwenye kundi la nchi zenye demokrasia kamili.Taifa gani? Nitajie hayo mataifa bila ya mimi kuingia kwenye hizo link