Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Screenshot_2024-11-01-13-49-51-291_com.twitter.android~2.jpg

Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
 
Shura ya maimamu wa JF tumeanza kikao cha ghafla kujadili tamko hili la Ayatollah maana limetuvua nguo sana sisi kila siku tunaendesha miadhara hapa JF kuwa Iran ni kiboko cha Israel halaf ghafla huyu Ayatollah anabong'oa kwa mayahudi
Mna amini sana propaganda
 
View attachment 3140503

Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Hapo anakusudia US na Nato sababu Israel hana lolote mbele ya Hamasi wacha Hezbullah na Iran.

Hivi dogo we unadhani Israel alienda piga Iran bila US, UK, France, Italy na hao warabu wa Gulf countries. Inatosha dalili katumia nchi mbili za kiarabu kwenda kupiga Iran hapo ndio ujuwe Israel hana uwezo wowote ule bila kusaidiwa.
 
Quran 28:88 inasema kila kitu kitateketezwa na kitakachobakia ni sura ya Allah tu yaani hadi mguu wake,Hijab yake vyote vitaangamia..

And do not invoke with Allāh another deity. There is no deity except Him. Everything will be destroyed except His Face.1 His is the judgement, and to Him you will be returned.
— Saheeh International

وَلَا تَدْعُ مَعَ ٱللَّهِ إِلَـٰهًا ءَاخَرَ ۘ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ كُلُّ شَىْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُۥ ۚ لَهُ ٱلْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
 
View attachment 3140503

Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
you must be born yesterday...mara ngapi benjamin,biden na washirika wao NATO kutaka Dunia nzima iungane kuiangamiza Iran!!!
 
Quran 28:88 inasema kila kitu kitateketezwa na kitakachobakia ni sura ya Allah tu yaani hadi mguu wake,Hijab yake vyote vitaangamia..

And do not invoke with Allāh another deity. There is no deity except Him. Everything will be destroyed except His Face.1 His is the judgement, and to Him you will be returned.
— Saheeh International

وَلَا تَدْعُ مَعَ ٱللَّهِ إِلَـٰهًا ءَاخَرَ ۘ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ كُلُّ شَىْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُۥ ۚ لَهُ ٱلْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
Nilisha kuambia usirukie dini usio ijua na daima unasoma tafsiri au hadithi ama zimekosewa kutafsiriwa.

Sa vipi uso ubaki bila body, hapo Mungu kakusudia hakuna kitu kitakacho baki isipokuwa Mungu tu. Sa we ukifa sura yako itaonekana tena 😄 kichaa kweli wewe mtu abaye anavaa msalaba hajui kuwa umelaniwa atakuwa sawa akili kwake.
 
Nilisha kuambia usirukie dini usio ijua na
Dini ni njia uislam ni njia ya kuishi kwa uovu na uongo
daima unasoma tafsiri au hadithi ama zimekosewa kutafsiriwa.
Tafsir why zipo? Jibu zipo kwa sababu Quran ni stupid book ina jidai imekamilika kwa details lakini aya ya kwanza hadi ya mwisho zote zinahitaji tafsir.

Ujinga Mwingine waliotafsiri ni waislam wenyewe.. kisha wakigundua wameharibu wanasema ni dhaifu. Ila kila kitu cha kiislam ni dhaifu including Quran iliyokusanywa na binadamu instead of Allah na wenzake kama aya inavyosema. Ni sisi tutaokusanya Quran.. kwahiyo siyo hii Quran yenu ya uthman na Hafs..

Alfu kuna shehe amesema Hadith dhaifu hazijakatazwa so uongo kwenu ni ruksa.
nimekuwekea maandishi ya kiarabu ya quran unasema tafsiri mbovu hahahaha

Sa vipi uso ubaki bila body, hapo Mungu kakusudia hakuna kitu kitakacho baki isipokuwa Mungu tu. Sa we ukifa sura yako itaonekana tena 😄 kichaa kweli wewe mtu abaye anavaa msalaba hajui kuwa umelaniwa atakuwa sawa akili kwake.
Anayetamka kwenye Quran ni Allah according to Muslims wewe unakataa mwenyewe anayesema Kila kitu kitaangamia ikiwepo Shin yake ugoko,hijab ya Allah, mikono yake yote ya kulia Quran n.k au hujui kiarabu.

Wa laa tad’u ma’al laahi ilaahan aakhar; laaa ilaaha illaa Hoo; kullu shai’in haalikun illaa Wajhah; lahul hukkmu wa ilaihi turja’oon

Kila kitaangamia kasoro sura yake tu..

Upumbavu wako umepitiliza.. unabishana na Allah..

Ndio maana Mrume wenu alisema Quran alikuwa anaipokea sometimes kwa sauti za kengere sauti ya jibril ina milio ya kengere.. ngrili ngirii kama cow zizini ndio maana tafsiri zinawasumbua hadi mmaamua kujifanya vichaa . And remember Allah alisema kengere ni sauti ya shetani so Mudy alikuwa anapewa Quran na Shetani..

Umbali alipo Allah ni miaka elfu kwenda na kurudi elfu kwa speed ya lights so aya ya pili bado haijafika..

Uslam ni vichekesho pimp house club
 
Dini ni njia uislam ni njia ya kuishi kwa uovu na uongo

Tafsir why zipo? Jibu zipo kwa sababu Quran ni stupid book ina jidai imekamilika kwa details lakini aya ya kwanza hadi ya mwisho zote zinahitaji tafsir.

Ujinga Mwingine waliotafsiri ni waislam wenyewe.. kisha wakigundua wameharibu wanasema ni dhaifu. Ila kila kitu cha kiislam ni dhaifu including Quran iliyokusanywa na binadamu instead of Allah na wenzake kama aya inavyosema. Ni sisi tutaokusanya Quran.. kwahiyo siyo hii Quran yenu ya uthman na Hafs..

Alfu kuna shehe amesema Hadith dhaifu hazijakatazwa so uongo kwenu ni ruksa.
nimekuwekea maandishi ya kiarabu ya quran unasema tafsiri mbovu hahahaha

Anayetamka kwenye Quran ni Allah according to Muslims wewe unakataa mwenyewe anayesema Kila kitu kitaangamia ikiwepo Shin yake ugoko,hijab ya Allah, mikono yake yote ya kulia Quran n.k au hujui kiarabu.

Wa laa tad’u ma’al laahi ilaahan aakhar; laaa ilaaha illaa Hoo; kullu shai’in haalikun illaa Wajhah; lahul hukkmu wa ilaihi turja’oon

Kila kitaangamia kasoro sura yake tu..

Upumbavu wako umepitiliza.. unabishana na Allah..

Ndio maana Mrume wenu alisema Quran alikuwa anaipokea sometimes kwa sauti za kengere sauti ya jibril ina milio ya kengere.. ngrili ngirii kama cow zizini ndio maana tafsiri zinawasumbua hadi mmaamua kujifanya vichaa . And remember Allah alisema kengere ni sauti ya shetani so Mudy alikuwa anapewa Quran na Shetani..

Umbali alipo Allah ni miaka elfu kwenda na kurudi elfu kwa speed ya lights so aya ya pili bado haijafika..

Uslam ni vichekesho pimp house club
Naona mke wa papa umejichokonoa tayari ngoja nitulie nakurudia

Utakimbia uzi soon
 
Quran 28:88 inasema kila kitu kitateketezwa na kitakachobakia ni sura ya Allah tu yaani hadi mguu wake,Hijab yake vyote vitaangamia..

And do not invoke with Allāh another deity. There is no deity except Him. Everything will be destroyed except His Face.1 His is the judgement, and to Him you will be returned.
— Saheeh International

وَلَا تَدْعُ مَعَ ٱللَّهِ إِلَـٰهًا ءَاخَرَ ۘ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ كُلُّ شَىْءٍ هَالِكٌ إِلَّا وَجْهَهُۥ ۚ لَهُ ٱلْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
Ww akili huna
 
Back
Top Bottom