Ayedhaniwa kuwa ni toto wa Rais Magufuli achezea Fedha Snapchat

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Mtoto wa Magu huyo huko Snapchat...... babake yuko huku anatupigia kelele eti Watu walikuwa na pesa za kuchezea sasa zimeondoka, Mbona mwanae bado ambazo pesa za kuchezea mpaka anazimwaga kwenye sakafu???

Jamani huyu ni mtoto wa kiume wa Magu anaeishi Ikulu kabisa anaitwa Clifford Magufuli. Snapchat anatumia Clifford JPM Ila kablock mtu huwezi hata kumsearch. Yani kawa add only his close friends.

Hata hii video imebidi irekodiwe kwa simu ingine ili asijue nani karekodi au kachukua screenshot....ila bahati nzuri one of us close friends is also my informer ndo kanipa video sasa Hivi. Yani Hapa tunavyooongea hizi video bado zippo snapchat

Leo Clifford atachezea kichapo cha babake, nahisi atakabidhiwa kwa Uncle Bashite Maliyamungu akateswe kidogo kwa kosa la kuwaonyesha Tanzania the real luxury life style ya Magufuli and his family na sio ile ya kutunganyia watanzania na kubana matumizi!

Eti pesa imepotea sababu mlizoea kuchezea. Mbona mwanae bado anachezea pesa kama kawa??

 
Hii inaonyesha mange na wafuasi wake wana IQ ndogo

Mbona Mimi napost mitandaoni pesa na kitanda changu kimejaa pesa na baba yangu hanichapi



Halafu kingine kama mtoto wa magu ni Malaya kisa kupost picha za mademu zake na pesa mbona mange naye anapost picha ya tuhela za mabwana zake baada ya kuvuliwa pichu na sie hatuhoji

 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mbona sini mtaani tunakula bata tu hatuna jumamosi wala alhamisi. kila siku kwetu ni weekend. Mtoto wa mshua nae anahaki ya kuinjoy maisha. Mengine labda mnamuonea wivu tu,
 
Hahaa unalipw Buku saba unavotype umu kwa uzi
 
We unayeejiita mtoto wa Mwl (son of a teacher), si kwamba ndio wewe uliyelipuliwa na Mange kweli? How come mwanaume mzima unamjibu m'mke KIKEKIKE kwa ku-post issues zake binafsi (kimipasho) badala ya kupinga kashfa kwa hoja ka mwanaume?!!! You are a son of a Country Leader, this is a serious accusation, get into your nerves and respond accordingly with undoubtful evidence that this is just a made-up scandal!
 
Ooh...... Tuko kwenye vita ya uchumi!

Ukiwa kwenye vita ya uchumi ndiyo hutaki critics wakukosoe??

Maana critics watakusaaidia kuwajua wale unaopambana nao ni akina nani.

Hii Vita ya uchumi ya Baba Jesca ambapo yeyote anayekosoa utawala wake hatakiwi "kusurvive" imeficha mambo mengi!

Including hili aliloliibua Mange, kuwa wapo watu ndani ya utawala huo huo wa Bwana mkubwa ambao wanafanya kufuru kubwa ya maisha!
 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mbona sini mtaani tunakula bata tu hatuna jumamosi wala alhamisi. kila siku kwetu ni weekend. Mtoto wa mshua nae anahaki ya kuinjoy maisha. Mengine labda mnamuonea wivu tu,
Huku mtaani kumekaza kweli kweli!

Wewe unayeenjoy kila siku lazima utakuwa mpiga dili ambaye ndiye anayewasemaga Baba Jesca kuwa hawataki kwenye utawala wake!
 
Huku mtaani kumekaza kweli kweli!

Wewe unayeenjoy kila siku lazima utakuwa mpiga dili ambaye ndiye anayewasemaga Baba Jesca kuwa hawataki kwenye utawala wake!
Weweee! Mimi nalima mazao aina tatu kwa wingi sana, halafu nafuga ng'ombe, mbuzi kondoo na kuku. Maisha ni kupang mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…