Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ukikubaliana na maadui zake mwaka mzima bila kuinamishwa bila under....basi ni miujiza !!!!Ukiona umemfollow Mange mwaka mzima na hajakublock jua wewe ni akili ndogo, kwa maana unakubaliana na kila asemacho, mimi niliwahi kumfollow akanibloq fasta maana siwezi kukubaliana na kila anachoandika (though kuna mengine anayoandika yana ukweli)
Yaani siku Mange Kimambi akitangaza nia ya kugombea uenyekiti CDM, manyumbu ni lazima watamtetea apite. Akili zenu mnazijua wenyewe. Kutwa. Kushinda mitandaoni tu. Kwa umbea.
Hizo pesa za wanyonge baba yake anatuibia anaenda kutumbua na familia yake
Hapo mbona kawaida sana,huwa wanafanya israfu sana hasa yule Jesca huwa anafanya kufuru ya pesa mpaka ukitazama roho inauma.
Kwa kweli mbona wanamuonyesha mikono tu! Kweli vita ya uchumi ni ngumu sana!Video yakutengeneza hiyo
Wameunga unga vipande tazameni kwa umakini
Acha sisi wa lumumba tuendelee kutetea tu maana ndio kazi yetu hiiiHii inaonyesha mange na wafuasi wake wana IQ ndogo
Mbona Mimi napost mitandaoni pesa na kitanda changu kimejaa pesa na baba yangu hanichapi
![]()
Halafu kingine kama mtoto wa magu ni Malaya kisa kupost picha za mademu zake na pesa mbona mange naye anapost picha ya tuhela za mabwana zake baada ya kuvuliwa pichu na sie hatuhoji
![]()
Huyu atakuwa Mange na kama sio basi ni kijakazi ,mtumwa wa MangeWe ndo mange kimavi? Mbona umetoa povu sana?