Ayedhaniwa kuwa ni toto wa Rais Magufuli achezea Fedha Snapchat

Kwa hyo face ni magu kabsa,bt huyu jamaa anaonkn ni 19+ mbn bdo yupo ikulu anafny nn ingepasw awe kwake or kwao
 
Kwani hii mada imepostiwa na Mange? Alafu sioni kama ni utetezi unaofaa, kosa haliwezi kuhalalisha kosa, pili ukishakuwa Mtoto wa kiongozi lazima kuna vitu uachane navyo kwa manufaa ya mzazi wako, kwasababu ni tofauti na Mtoto wa mkulima.
 
Pesa za makaratasi ni ujima.

Magufuli ni fisadi.
 
Wasamehe bure mkuu Mange kawashikia akili zao.

Hide my ID
 
Wasamehe bure mkuu Mange kawashikia akili zao.

Hide my ID
Upuuz ni kufananisha maisha ya Mtu wa kawaida na maisha ya Mtoto wa kiongoz,hil linasemwa na Mtu asiyejua Rais na family yake wanatumia Kodi zetu.
 

Malaya mama ako anayebanduliwa na wavuvi huko mbegani ,Mange kaingiaje hapo ? **** kibuyu we
 
Video ya kuchonga hii,nimeangalia mbona wakati HELA ZINAHESABIWA KWA KURUSHWA CHINI IMEONYESHWA MIKONO HAIKUONYSHWA NA SURA KWA PAMOJA?,what if hicho kipande cha hela kimepachikwa na wajanga wa mult media,Watakao ikubali hii video ni watu wenye akili za MANGE tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…