Ayedhaniwa kuwa ni toto wa Rais Magufuli achezea Fedha Snapchat

Mbona kama lumumbaz mmetengeneza ili kumchafua mtu??????

Maana video yenyewe hata haieleweki
 
Yaani siku Mange Kimambi akitangaza nia ya kugombea uenyekiti CDM, manyumbu ni lazima watamtetea apite. Akili zenu mnazijua wenyewe. Kutwa. Kushinda mitandaoni tu. Kwa umbea.
 
Mkuu mtoto wa nyoka ni nyoka...hukuona baba anagawa maburungutu ya pesa njiani hovyooo.....???
 
Hiyo video mbona kama imeungwaungwa ni vigumu kumuona bayana anayerusha hizo pesa.... pia naona kuna usd na tsh bila nafasi kutoka moja kwa nyingine
 
Huyu anatakiwa kweli akabidhiwe kwa Maliyamungu Bashite atekwe apelekwe kusikojulikana arudishwe magogon baada ya mwezi kuisha
 
Magu ina bidi aendelee kubana tu mpaka heshima irudi
 
Ukiona umemfollow Mange mwaka mzima na hajakublock jua wewe ni akili ndogo, kwa maana unakubaliana na kila asemacho, mimi niliwahi kumfollow akanibloq fasta maana siwezi kukubaliana na kila anachoandika (though kuna mengine anayoandika yana ukweli)
 
na ukikubaliana na maadui zake mwaka mzima bila kuinamishwa bila under....basi ni miujiza !!!!
 
Yaani siku Mange Kimambi akitangaza nia ya kugombea uenyekiti CDM, manyumbu ni lazima watamtetea apite. Akili zenu mnazijua wenyewe. Kutwa. Kushinda mitandaoni tu. Kwa umbea.

Eti kutwa kushinda mitandaoni ,we hapa unakunya? Halafu mbona kizee polepole anashinda mitandaoni kutema pumba zake humshangai?

Mwisho, mabando hujatuwekea wewe ,so usitupangie kama mkulu wako asivyopangiwa.Pambana na kilimo chako huko Kolomije
 
Hizo pesa za wanyonge baba yake anatuibia anaenda kutumbua na familia yake

Hapo mbona kawaida sana,huwa wanafanya israfu sana hasa yule Jesca huwa anafanya kufuru ya pesa mpaka ukitazama roho inauma.

huyo jesca magfuli c nasikia alkuwa anasoma udom, hlf utakuta pesa Anayotumia jesca cyo nyingi kihivo ila wabongo tuna-overrate Hance Mtanashati
 
Mwacheni ale bata sie ma S.O.P tupambane na hali Zetu.
 
samahani aliyefanya hivyo ni magufuli ama mwanae? kama ni mwanae hainiharalishii kwamba babake ni mtu muovu
 
nyaNgema!!!!! punguza stress maisha ndivyo yalivyo wewe!mpaka lini mambo ya watu dada? Wakati unakutupa sweet heart..njoo tulime ufuta huku nyumbani huyo Trampet hatabiriki[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Acha sisi wa lumumba tuendelee kutetea tu maana ndio kazi yetu hiii
 
Nissan Patrol Nyeupe imepita mwanzoni mwa hiyo clip. [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…