Ayemeric Laporte: wachezaji wengi waliotoka Ligi za Ulaya wamechoshwa na maisha ya Saudi Arabia

Una pesa ambazo huwezi kuzitumia ipasavyo sehemu za starehe nyingi zinaonekana ni dhambi.🙌😂😂
Nchi msaafu ndio katiba

Yaani me kukaa sehemu ambayo hakuna kitimoto ana beer aisee siwezi🚮🚮.😂
 
 
Serkali ya kifalme mjini riadhi imetenga mabilion ya dola kuvisaidia vilabu kadhaa nchini humo kusajili majina makubwa ili kuipeleka saud arabia duniani pmj na maadili yake
Ndivyo wadaudia wanavyodanganywa..... Kuingiza mipira na umagharibi kwenye Ardhi ya Mtume huku ukiwadanganya untangaza Saudia Duniani na Maadili yake?
 
Kwan hapa tunaongelea utofauti wa kimwili, au utofauti wa kifikra na tamaduni, wazungu na waarabu wana tamaduni sawa??
Tofauti za kifikra na kitamaduni hazileti tofauti kwenye maswala ya starehe kwasababu starehe inahusisha hisia(feelings) ambazo ni swala la kisayansi zaidi na sio tamaduni Wala fikra,kama ambavyo waafrica,waamerica,wazungu starehe yao kubwa ni ngono,basi na waarabu nao ni hivyohivyo,hawana utofauti wowote ule,kama unabisha nambie starehe za waarabu ambazo ni tofauti na race nyengine
 
Ni mwendo wa kuji-dronedrake huko sivyo?
Nchi amabayo kwanza ukigika unakabidhi passport ujue hamna kitu hapo. Inabidi waende waganga njaa tuu.
Ila bwana kwa mzigo wanaotoa ah naji-dronedrake kwa miaka miwili alafu huyoooo miami kuenjoy totoz
 
Kabla ya kufika huko kwa hao waarabu na wazungu, tuanze na sisi kwanza, Mm na wewe sisi sote ni waafrica, je tuna share the same interests? Je, starehe zako na zangu zinafanana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…