Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Hapana.Binadamu wote tupo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.Binadamu wote tupo sawa
Utofauti wa waarabu na watu wengine ni upi? Naomba uthibitisho wa kisayansiHapana.
Kwan hapa tunaongelea utofauti wa kimwili, au utofauti wa kifikra na tamaduni, wazungu na waarabu wana tamaduni sawa??Utofauti wa waarabu na watu wengine ni upi? Naomba uthibitisho wa kisayansi
BIya zimeruhusiwa sasa hivi saudia wakina greanlish kazi kwaoWaseme tu wamemiss maisha yao ya starehe.
Mchezaji wa Zamani wa Manchester City amekuja hadharani na kusema maisha ya Saudi Arabia yamekuwa ndoto za alianacha kwa wachezaji waliotoka ulaya
"Tunawasiliana na wachezaji wengi hapa miongoni mwa waliotoka bara la ulaya, wengi wanaonyesha hawafurahii kabisa maisha ya hapa... Lakini ni changamoto tunajarubu kujifunza"
Hapa Saudi Arabia kila kitu wanaichukulia kwa uzito mdogo, mchezo wa uwanjani bado ni dhaifu bado labda wataboresha kwa kuwa bado wachanga
Pia ni kuhusu wao na maisha yao unaweza kukaa kwenye folen masaa matatu na mambo mengine kama hayo nje ya uwanja
Serkali ya kifalme mjini riadhi imetenga mabilion ya dola kuvisaidia vilabu kadhaa nchini humo kusajili majina makubwa ili kuipeleka saud arabia duniani pmj na maadili yake
Mtakumbuka kuwa baadhi ya wachezaji wamesharudi ulaya na wengine wapo kwenye mazungumzo kuondoka uarabuni kutokana na kutoridhishwa na maisha nchini saudi arabia
Credit :as
Hakuna kula mbususu hukoWaseme tu wamemiss maisha yao ya starehe.
Ndivyo wadaudia wanavyodanganywa..... Kuingiza mipira na umagharibi kwenye Ardhi ya Mtume huku ukiwadanganya untangaza Saudia Duniani na Maadili yake?Serkali ya kifalme mjini riadhi imetenga mabilion ya dola kuvisaidia vilabu kadhaa nchini humo kusajili majina makubwa ili kuipeleka saud arabia duniani pmj na maadili yake
Ni mwendo wa kuji-dronedrake huko sivyo?Hakuna kula mbususu huko
Tofauti za kifikra na kitamaduni hazileti tofauti kwenye maswala ya starehe kwasababu starehe inahusisha hisia(feelings) ambazo ni swala la kisayansi zaidi na sio tamaduni Wala fikra,kama ambavyo waafrica,waamerica,wazungu starehe yao kubwa ni ngono,basi na waarabu nao ni hivyohivyo,hawana utofauti wowote ule,kama unabisha nambie starehe za waarabu ambazo ni tofauti na race nyengineKwan hapa tunaongelea utofauti wa kimwili, au utofauti wa kifikra na tamaduni, wazungu na waarabu wana tamaduni sawa??
Nchi amabayo kwanza ukigika unakabidhi passport ujue hamna kitu hapo. Inabidi waende waganga njaa tuu.Ni mwendo wa kuji-dronedrake huko sivyo?
Nadhani starehe za waarabu ni tofauti na za wazungu
Kabla ya kufika huko kwa hao waarabu na wazungu, tuanze na sisi kwanza, Mm na wewe sisi sote ni waafrica, je tuna share the same interests? Je, starehe zako na zangu zinafanana??Tofauti za kifikra na kitamaduni hazileti tofauti kwenye maswala ya starehe kwasababu starehe inahusisha hisia(feelings) ambazo ni swala la kisayansi zaidi na sio tamaduni Wala fikra,kama ambavyo waafrica,waamerica,wazungu starehe yao kubwa ni ngono,basi na waarabu nao ni hivyohivyo,hawana utofauti wowote ule,kama unabisha nambie starehe za waarabu ambazo ni tofauti na race nyengine
Ngono holelaUnaweza ukanipa maana ya neno ”ngono zembe”kwa Kiswahili sanifu?