DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Inshort hakuna mtu anaesikiliza wanaijeria wanaimba nini. Mimi najua kiingereza vizuri lakini sielewagi Burna Boy anaimba nini. Sababu ya muziki wa Niejeria kufika hapo ulipo ni tofauti sana, wala si lugha.
 
Waende kum*ira usitamani bahati ya mwenzio hasa kwenye tasnia ya Entertainment
 
Hauna akili trust me
 
Hauna akili trust me

Mtu unayeamini kabisa Majaliwa anaweza kuwa Rais unapata wapi calories za kuniambia sina akili

Peleka makasiriko yako pengine. Uvivu tu wa kuuza popcorn Makumbusho!
 
Aslay, Abigail chams si wamesajiliwa na sony? Au SONY wanahusika na distribution tu?
 
Nataka nione hiyo comment
 
Mondi ameenda kukutolea povu uko kwenye page ya jamiiforum instagram nenda ukamjibu kwa fact

Anasema amesainiwa na warner kwa dollar 5M
Anakuliza au warner ni lebo ya mtoni mtongani? 🤣🤣🤣
 
Meneja mwenyewe Dkt. Babu tale wa Morogoro na Sallam Skanka anayeringishia watu mitandaoni kuwa yupo Miami USA, mtu kufika USA kwake ni ndoto sasa unategemea atasaidia nn kwny muziki?
 
Mondi ameenda kukutolea povu uko kwenye page ya jamiiforum instagram nenda ukamjibu kwa fact

Anasema amesainiwa na warner kwa dollar 5M
Anakuliza au warner ni lebo ya mtoni mtongani? 🤣🤣🤣

Jamaa ni mpumbavu sana, yupo very insecure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…