Ayub Lakred ni Golikipa Bora Afrika

another clean sheet for ayub lakred

mwamba kweli kweli huyu nyanda
 
Tabulele fc mbona hasira? Si muwasifie wa kwenu?
 
Pumbavu, golikipa bora afrika ni kipa wa timu ya taifa ya Morroco, acha ujinga mtoa mada, alaaaaahh
 
confirmed & sealed:


ayub lakred ni mwamba, golie la dunia,

golini leo angekuwepo aishi mashuka tungekula kamba kama 4 hivi
 
Na hili wiki lazima awepo tena
 
Nilisema toka mwaka Jana, narudia tena Ayub lakred ndiye golie bora africa. walionitukana waje tena, aishi manula is no more.

uhakika ni kwamba kwenda robo fainali club bingwa tumebebwa na mikono elfu ya ayub. angekaa golini manula hasa mechi zote za wydad home &away tungepigwa.

MECHI YA JANA YALE MAGOLI AYUB HAWEZI KUFUNGWA.

yaani timu yote inaenda kucheza kona wachezaji wote wamevuka mstari wa kati kati golikipa umeganda golini kwako unafanya nini?? unavuta shisha?? manula ni m$3ng3 square,

mchezaji yupo kwenye impossible angle wewe unatanua miguu kama unataka kupigwa miti kama si ujinga ni nini?? angebana miguu akaziba kwenye mlingoti mfungaji hawezi kufunga kwenye angle hiyo.

ndivyo vile bhana manula sio kipa.

nimemaliza.
 
Aisee.......
 
Kama anataka kupigwa miti? Manula ni kipa bora mbele ya ayubu kufungwa ni moja ya matokeo tukubali

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kama anataka kupigwa miti? Manula ni kipa bora mbele ya ayubu kufungwa ni moja ya matokeo tukubali

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
aiseee nisikitike kukuambia hivi hujui bolu mkuu, hivi timu nzima wanashambulia wako nusu ya upande wa adui wewe golie umejikalisha goli kwako una akili au matope??? ile kaunta ataki jana angekuwa ayub angemlamba mbangula chenga na kofi juu,

alafu mbangula yupo na mpira kwenye impossible angle unatanua miguu kama unaenda leba badala ya kubana kwenye nguzo unachanua kama......myiuuuuu
 
Umetumia vigezo gani kusema ni golikipa bora Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…