Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

Rioba.JPG
 
Kwa kauli ya hicho alichoandika inaonyesha jinsi gani amepanick..kauli hii ni ya kukata rufaa kwa watanzania kwamba anaonewa.

Kwanini afatiliwe yeye wakati ule aliandika ujumbe wa kuachia ngazi sijui nini kilitokea ameendelea kuwa pale.

Ajibu tuhuma akimalizana na takukuru na akasafishwa basi akae kimya..akikutwa na hatia awajibike.

Kusema eti Takukuru mnawajua Wala rushwa wa nchi hi wafatilie hao ni kauli ya dhaifu maana hata na kwa nafasi yake anaweza kula rushwa Tena ile inayoitwa "grand".
 
Chawa wa mwendazake, huyu jamaa alikuwa anaandaa mijadala kumsifia tu mwendazake,hata kama mjadala unahusu mambo mengine lazima achomekee kumsifia Magufuli
Chawa Kashiba Damu Anapasuka Sasa
Kidole Kimoja Hakiuwi Chawa Sasa Kaungiwa Cha Pili Lazima
 
Kwa kauli ya hicho alichoandika inaonyesha jinsi gani amepanick..kauli hii ni ya kukata rufaa kwa watanzania kwamba anaonewa...kwa Nini afatiliwe yeye..wakat ule aliandika ujumbe wa kuachia ngazi..sijui nini kilitokea ameendelea kuwa pale....
Ajibu tuhuma..akimalizana na takukuru na akasafishwa basi akae kimya..akikutwa na hatia awajibike..
Kusema eti Takukuru mnawajua Wala rushwa was nchi hi wafatilieno hao..ni kauli ya dhaifu maana hata na kwa nafasi yake anaweza kula rushwa Tena ile inayoitwa "grand".....
Sasa si yeye ndio mmoja wa hao wala rushwa wanaojulikana na TAKUKURU. Hivi hapo katumia PhD yake kuandika hayo aliyoandika? Kwa nini afunguke leo na wala sio jana au juzi?
 
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

View attachment 2122531

Jinga Sana hili jamaa, Kwisha Habari yake!
 
Jafar Haniu aliaminiwa sana na hayati Magufuli.

Apewe tu TBC

Rioba arudi kufundisha watoto pale Mlimani ya Makumbusho.
 
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

View attachment 2122531
Huwa siaminigi Sana mtandao wa facebook, mna uhakika hiyo ni account yake?
 
Back
Top Bottom