Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ryoba kumbuka ulivyokuwa unatumia media vibaya kumsifu mwendazake nayo ilikuwa rushwa!
Takukuru- Dsm pambaneni na huyu mtu hadi kieleweke pambaf! zake! kwendraaaaaaaaaaa
 
Mpuuzi huyu alikuwa anaendesha vimijadala uchwara pale tbc kumsifu magufuli sasa afe na lwake
Nitajie mkurugenzi mwingine tofauti na huyu ambaye hakua akisifia mtawala aliyepo madarakani; Tido Muhando mwenyewe nae alikua akifanya kwa kutumia akili kubwa sana but TBC wote ni wale wale tu
 
Rioba ni mtu mmoja wa hovyo sana hajawahi kutokea Tanzania...yaani aliiharibu kabisa TBC ikawa ni kitengo cha kuabudu na kumsifu Magufuli
 
hiyo mbona kama feki wakulungwa hebu tuanze na jina lake anaitwa Ayub na sio Ayoub? Rioba na sio Ryoba?
 
Jaffari Anui yule wa kurugenzi ya Habari ya Rais anapiga jalamba kuchukua kiti cha TBC. Rioba alijiona mungu mtu sana. Shida ana utoto mwingi.
 
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

Akaunti feki hii, wanaa hawampendi
 
Mpuuzi huyu alikuwa anaendesha vimijadala uchwara pale tbc kumsifu magufuli sasa afe na lwake
Alikua mtu makini na mwenye misimamo wakati yupo ITV kupitia kipindi cha sema usikike. Kumbe ilikua njaa tu alipopatiwa ulaji akawa nyota wa kusifia na yale aliyikua anayakandia sema usikike na kukandia yale aliyokua anayasifia.
 
Mpuuzi huyu alikuwa anaendesha vimijadala uchwara pale tbc kumsifu magufuli sasa afe na lwake
Acha yamkute kwani kipindi kile akiwa UDSM, alikuwa mwanaharakati mzuri sana, ila alipopata tu ukurungenzi wa tbc akawa mtetezi mkubwa sana wa jiwe, na kuwaona wenzake aliokuwa nao , kuwa wanatumiwa na mabeberu.
 
Ayub kaka wewe ni msafi kwanini unaogopa kufuatiliwa wakati unajua kuwa wewe ni mkurugenzi katika shirika la umma
 
Hii post mbona ya mwaka jana?
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

Huyu Rioba Mwaka Jana Alijiuzuru Mpaka Ikawekwa Hapa Lakini Akakausha
Muda Huu Tena Atupishe Akanywee Kikombe Kilichofurika Na Kusukwasukwa
Huu ndiyo ukweli wenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Back
Top Bottom