Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

matumizi ya social media ya limits zake

I think amepanic
Sure amepanik sana hayo siyo ya fb.

Namkumbuka yule gentleman aliyetoka bbc na wakajampakesi.

Hii nchi sometimes inatakiwa umakini mkubwa
 
Jamaa uwa akipanic anavuta Sana Sigara..Sembuse wakati ana Andika Uko Facebook alikuwa Anavuta sigara.
 
TAKUKURU ifanye kazi. Chawa wa jiwe wote wachunguzwe.

Rioba aache kutapa. Kazi Inaendelea
 
Ukisoma replies nyingi ni zile zenye huruka za Kiafrika kukejeli, roho mbaya, unafiki nk, yaani watu wanafurahia pale mtu kinachomtokea although wanashindwa kusema, kuandika hata sasa hii mijadala inayoandaliwa au kuendeshwa kumsifia Hangaya kama hawaioni.

👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
KILA MBUZI HULA UREFU WA KAMBA YAKE.......KAMBA IKIFUPISHWA LAZIMA APIGE KELELE......
 
Kwa Tabia ya Samia hawezi kuendana na Ryoba. Binafsi mpaka Leo sijui kilichomfikisha hapo Rioba ni kitu gani?
 
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.

Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu

View attachment 2122531
Anatumia Facebook
Hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom