Chawa Kashiba Damu Anapasuka SasaChawa wa mwendazake, huyu jamaa alikuwa anaandaa mijadala kumsifia tu mwendazake,hata kama mjadala unahusu mambo mengine lazima achomekee kumsifia Magufuli
Sasa si yeye ndio mmoja wa hao wala rushwa wanaojulikana na TAKUKURU. Hivi hapo katumia PhD yake kuandika hayo aliyoandika? Kwa nini afunguke leo na wala sio jana au juzi?Kwa kauli ya hicho alichoandika inaonyesha jinsi gani amepanick..kauli hii ni ya kukata rufaa kwa watanzania kwamba anaonewa...kwa Nini afatiliwe yeye..wakat ule aliandika ujumbe wa kuachia ngazi..sijui nini kilitokea ameendelea kuwa pale....
Ajibu tuhuma..akimalizana na takukuru na akasafishwa basi akae kimya..akikutwa na hatia awajibike..
Kusema eti Takukuru mnawajua Wala rushwa was nchi hi wafatilieno hao..ni kauli ya dhaifu maana hata na kwa nafasi yake anaweza kula rushwa Tena ile inayoitwa "grand".....
Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.
Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu
View attachment 2122531
awekwe ndaniKishindo Cha awamu ya tano
Tunatekeleza
Kiko wapi? Kwani awamu nyingine walikua hawatekelezi?
Huwa siaminigi Sana mtandao wa facebook, mna uhakika hiyo ni account yake?Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka.
Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu
View attachment 2122531