Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa.

Ukumbi na eneo mtajuljshwa.

Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

rioba.JPG
 
Takukuru wameajiriwa kufanya kazi hii kinachozibitisha kuwa sio sahihi ni mahakama mbona unajiwahi kujikosha

Takukuru fanyeni kazi zenu za kawaida za kila siku sisi Kama Taifa tunawaunga mkono
 
Kuna kila dalili Ayubu akaamua kung'atuka ili kulinda heshima yake.Ni muda sasa ukifuatilia mwenendo wake kwenye hii taasisi unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa mawazoni mwake.
 
Kuna kila dalili Ayubu akaamua kung'atuka ili kulinda heshima yake.Ni muda sasa ukifuatilia mwenendo wake kwenye hii taasisi unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa mawazoni mwake.
Heshima gani aliyokuwa nayo? Na hiyo heshima aliipata wapi?
 
Kuna kila dalili Ayubu akaamua kung'atuka ili kulinda heshima yake.Ni muda sasa ukifuatilia mwenendo wake kwenye hii taasisi unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa mawazoni mwake.
Heshima ipi ?
 
Kama wenye majina Paulo, Christian, Alfred walivyokuwa wananeemeka awamu iliyopita
Umekosea. Awamu ya tano ilikua Masanja, Masunga, Mabula, Maduhu, Mafisi, Makonda, Gwajima etc.
Tunasubiri ijayo ya kina Deceiver, Mshana, Kimaro, Mbise, Mkiriramweni na Mollel.
 
Back
Top Bottom