Hii akaunti ni fake!Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa.
ukumbi na eneo mtajuljshwa
View attachment 2123503
Heshima gani aliyokuwa nayo? Na hiyo heshima aliipata wapi?Kuna kila dalili Ayubu akaamua kung'atuka ili kulinda heshima yake.Ni muda sasa ukifuatilia mwenendo wake kwenye hii taasisi unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa mawazoni mwake.
Jina Pasco Lina gundu awamu hii.#Pascal jiandae TBC inakuja kwako!
Heshima ipi ?Kuna kila dalili Ayubu akaamua kung'atuka ili kulinda heshima yake.Ni muda sasa ukifuatilia mwenendo wake kwenye hii taasisi unaona kabisa kuna kitu hakipo sawa mawazoni mwake.
..
Angekua anaitwa Jamal au Makame au Sijali tungemfikiria..
Umekosea. Awamu ya tano ilikua Masanja, Masunga, Mabula, Maduhu, Mafisi, Makonda, Gwajima etc.Kama wenye majina Paulo, Christian, Alfred walivyokuwa wananeemeka awamu iliyopita