Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam zimepugua kipimo sio kawaida, karatasi zimejaa upepo tupu.
Mwanzoni ulianza vizuri sana Kimfuko kilikuwa kinajaa ice lolly ila sasa hivi ni upepo tu! na mnachukua jero jero zetu!? Shukuru kwamba unajulikana na watu na umesambaza bidhaa Tanzania nzima ila kiukweli Jambo Foods ameanza kukupiga bao mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Rudisheni kipimo cha mwanzo, watu wameshtukia mchezo wenu! Biashara ni nzuri sana ya hizi Ice Cream na Ice Lolly ila msitumie nguvu ya kibiahsra kuharibu.