Azam amepunguza kipimo cha Azam Ukwaju.

Azam amepunguza kipimo cha Azam Ukwaju.

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ pole shem, hata kama si kule. Hata kwangu wewe ni shem nimeibiwa huko kwenu.
Ah bc unyama, msalimie jamaa ๐Ÿ”ฅ bila shaka huyo mpare hapo anawakilisha wapare kuwa n mume/baba bora ๐Ÿ˜Ž
 
Mi ndo naziona Leo. Huku Kanda ya Ziwa JAMKAYA(JAMBO) kampiga Sana Usipotembea Nje na mikoa ya Kanda ya Ziwa huwezi jua Kuna Azam ama uhai Kwa upande wa maji
 
Back
Top Bottom