Azam amepunguza kipimo cha Azam Ukwaju.

Dogo kaitoboa kanyonya kidogo.
 
Nilidhani pekeangu, hadi nimeacha kuzinunua siku hizi, yani zinazidiwa ukubwa na ice cream za 100 mtaani
 
Wanaume na nyie muwe cooperative kwenye malezi...mfundishe mtoto wa kiume kuwa mwanaume na sio kutuachia sisi tu
 
Wakiongeza bei unalalamika wakipunguza kipimo unalalamika sasa tufanyaje?
 
Kuna mawazo ukiwa nayo unaweza kushindwa kuishi maisha yako to the fullest

Jamii zetu uncivilized society zinataka mwanaume

Ale ugali Ila asile ice cream au ukwaju
Zinataka mwanaume ateseke awe mtu wakuangaikia wanawake tu na sio kukaa ku-Enjoy maisha.

Hii imepelekea kukuta kijana anafanya kazi ngumu Pesa yake anaishia kufurahisha wanawake.

Vijana msiache Ku-Enjoy kwa kufatisha mob-psychology

Saidieni wanawake Ila msifanye mambo kwa kuogopa watu don't do that ..kula ice cream ,ukwaju Enjoy ur life
 
Kwamba Mwanaume kulamba (kunyonya) Ice cream ya Azam ni dhambi,ila mwanaume huyo huyo kunyonya "K" ya Mwanamke si dhambi!

Kwamba Mwanaume kunyonya Ice Cream mbele ya Mwanamke ni dhambi,ila mwanamke kunyonya uume wa Mwanaume si dhambi!


Watu wengi humu ndani ni WAJINGA sijapata ona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…