Azam, Azam Udini utawaharibia

Azam, Azam Udini utawaharibia

Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Kumbe Theresa siku hizi ni kilatini! Mimi nilijua ni jina la kawaida kama vile Mariam.
Acha ujuaji wakati haujui.
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Kama anashindwa hata kusoma maneno ya, kiswahili yanayotumika kila siku kwenye sehemu ya jamii, huyo ni mwandishi wa habari wa mchongo, wale journalist wa mchongo, na vyeti vyao kutoka vyuo vya kata,sasa kama lafudhi ya, kiswahili inakushinda, ataweza kusoma na, kutamka maneno ya kifaransa na, majina?mwandishi, wa, habari, inabidi Uwe mbunifu, sio hawa wanachojifunza zaidi ni kupost picha Instagram,
Unaweza, ukawa, Muslim/au, mkristo, lakini ukaweza, au, ukatumwa kufanya/kukover maojiano na kiongozi, wa, kiislama, kikristo, na, ukaflow vzr tu, hivyo ndio imavyotakiwa,
Sasa, kama mwandishi wa, habari, anashindwa, kitu kidogo kama hicho, mfsno kutamka majina, ya, kikristo kwa vile ni Muslim, au majina ya, kiislam kwa vile ni mkristo, basi wewe ni kilaza kwa aslimia 100!
Jifunzeni kutoka vyombo vingime vya habari, Kenya,citizen, Al Jazeera,
Mtangazaji mzungu, mwanamke, anatumwa, kwenda, kumuhoji radical Islamist figure, anajiandaa kwa, kuvaaa mavazi, yanayokubalika mbele ya Islamist, ndo imavyotakiwa,
Tatizo, hawa, watangazaji, wa Azam, kwa vile mmiriki ni Muslim, wao, wanajiona kama wapo Masjid!
 
Ila upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
Uwezo wake mdogo wa kuelewa MAMBO? Acheni utetezi wa maana yoyote....Kimsingi kuna shida Pale Azam, tusiongee mengi tuyajuayo.
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Aisee wewe ni mdini haswa!
 
Sasa udini uko wapi hapo?
 
Tumia Akili
 
TFF ndio ambao hawakuliona hilo wakawauzia Ligi kuu kwa kujali mauzo tu, hawakujali walaji watakulaje ikiwa mpishi si wa umma mbalimbali.
 
Wewe Naye Huna La Kufanya.JF Iondoe Watu Kama Hawa Wanaandika Nyuzi Za Ovyo Kama Una Hamu Ya Kuandika Eleza Hata Maisha Ya Primary
 
Uwezo wake mdogo wa kuelewa MAMBO? Acheni utetezi wa maana yoyote....Kimsingi kuna shida Pale Azam, tusiongee mengi tuyajuayo.
nunua Dstv Au Startimes Si Za Waislamu,wakristo Mko Kama Watu Wenye Mahitaji Maalamu Ni Kulalamika Kila Siku Juu Ya Uislamu
 
Kama anashindwa hata kusoma maneno ya, kiswahili yanayotumika kila siku kwenye sehemu ya jamii, huyo ni mwandishi wa habari wa mchongo, wale journalist wa mchongo, na vyeti vyao kutoka vyuo vya kata,sasa kama lafudhi ya, kiswahili inakushinda, ataweza kusoma na, kutamka maneno ya kifaransa na, majina?mwandishi, wa, habari, inabidi Uwe mbunifu, sio hawa wanachojifunza zaidi ni kupost picha Instagram,
Unaweza, ukawa, Muslim/au, mkristo, lakini ukaweza, au, ukatumwa kufanya/kukover maojiano na kiongozi, wa, kiislama, kikristo, na, ukaflow vzr tu, hivyo ndio imavyotakiwa,
Sasa, kama mwandishi wa, habari, anashindwa, kitu kidogo kama hicho, mfsno kutamka majina, ya, kikristo kwa vile ni Muslim, au majina ya, kiislam kwa vile ni mkristo, basi wewe ni kilaza kwa aslimia 100!
Jifunzeni kutoka vyombo vingime vya habari, Kenya,citizen, Al Jazeera,
Mtangazaji mzungu, mwanamke, anatumwa, kwenda, kumuhoji radical Islamist figure, anajiandaa kwa, kuvaaa mavazi, yanayokubalika mbele ya Islamist, ndo imavyotakiwa,
Tatizo, hawa, watangazaji, wa Azam, kwa vile mmiriki ni Muslim, wao, wanajiona kama wapo Masjid!
Huna hoja mkuu naona unachuki binafsi na mzee Bakhresa, media nyingi zakima taifa zinashindwa kutamka maneno tofaiti tofauti kwa mfano BBC na CNN hawawezi kutamka neno alQaeedah, hata Raisi wa US alishindwa kulitamka sahihi sembuse sie waswahili.
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Hilo tu?

Kwa hapo mkuu utakuwa umewaonea.
 
Back
Top Bottom