Azam, Azam Udini utawaharibia

Mbona kuna king'amuzi cha continental kimejaa channels za kanisa,Kwa nn usinunue hicho mkuu ukasuuzika roho yako
Mimi ninatumia Azam, ila toka nilipie mwaka 2020, hadi leo sijawahi kulipia. Kitonga ya taarifa ya habari hunitosha. Mengine sinaga shobo nayo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Acha kushupaza shingo wana udini mpaka kwenye kmapuni yenyewe kwenye viwanda na hata kwenye issue ya kuuuza ice cream tafuta utajua haya maneno hayaji bahati mbaya.
 
tafuta hela wewe.. umasikini utakuuwa acha ujinga shuwain!
 
Mmeshawahi msikiliza huyu mchambuzi kuhusu vita ya Hamas na Israel kwenye Azam tv?
 
Acha kushupaza shingo wana udini mpaka kwenye kmapuni yenyewe kwenye viwanda na hata kwenye issue ya kuuuza ice cream tafuta utajua haya maneno hayaji bahati mbaya.
Mwenzio anasemea kwenye TV wewe unasema mengine, hujui udini uko je, kila kampuni ina malengo au goals zake mkuu, sio rahisi kuweka Imamu kua mkusanyeje wa sadaka kanisani na sio udini kuajiri katikista kua mpiga kengere kanisani au mkusanya sadaka, elewa goals za kila firm.
 
sasa ina maana gani kwa tv sio kampuni moja ya azam ama inajulikana ni kampun ya nani hilo mbona liko wazi?
 
elewa nayokwambia wanaswala la udini mfano tuu kuna jamaa alikosa kazi kisa tuu anaikwa peter sehemu kwa hao hao sitotaja ila ni kweli udini wanao waache hio inaharibu sana.
 
Gaidi wahel, hela hatafutwi inakuja yenyewe mbwa koko
hii nchi Ina vijana wa hovyo sana [emoji1787][emoji1787]..hela haitafutwi inakuja yenyewe? siriasi? ndo maana unaroho ya kimasikini "tafuta hela lofa wewe" uache chuki kwa Azam
 
Aisee
 
Mbona radio Maria inatumia masafa ya umma na hakuna anayewapangia
 
hii nchi Ina vijana wa hovyo sana [emoji1787][emoji1787]..hela haitafutwi inakuja yenyewe? siriasi? ndo maana unaroho ya kimasikini "tafuta hela lofa wewe" uache chuki kwa Azam
Huna elimu ya kutosha, unatafuta kitu ulichopoteza, hela haitafutwi, inatengenezwa. Elimu ndogo ya madarasa unakusumbua
 
Sasa kama inarusha maudhui mengine tofauti na ya dini Sasa udini unatoka wapi?
azam inaona ukakasi kutaja matamshi yanayohusu dini ambayo mmiliki wake haabudu huko. Krismasi inakuja tutaona kama azam ita cover vema msimu huo wa krismasi
 
azam inaona ukakasi kutaja matamshi yanayohusu dini ambayo mmiliki wake haabudu huko. Krismasi inakuja tutaona kama azam ita cover vema msimu huo wa krismasi
Kwaiyo ni lazima kufanya hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…