Azam, Azam Udini utawaharibia

Azam, Azam Udini utawaharibia

Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Hivi kumbe ni kilatini..!!! mimi nimeona ni kiswahili..!! Sasa kama mtangazaji anashindwa kusoma maneno ya kiswahili, si abadili kazi tu..!!
 
Back
Top Bottom