Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Kama ukikopi inakulipa hakuna tatizo.
Biashara huwezi kufurahisha kila nafsi ya Mtu, ila timiza matakwa yao kama wateja
 
Bei zikoje

Kg1,k2,kg25 nk

Ova
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Unaonaje na wewe ukianza kufanya huo ujanja ujanja [emoji3][emoji3]
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Mo sugar ipo zaidi ya miaka mitatu. Ipo ya package 1kg, mfuko mmoja ziko packti 20...
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
......AKA Copy & Paste !!
 
Ajenge power plant yake ya kuzalisha umeme atumie makaa ya mawe Ili kupata umeme wa kuendesha kiwanda , Ili apunguze gharama za uzalishaji Ili atuuzie bei chini sukari anaweza akauza sh 1800 kwa kilo, asipotumia umeme wa Tanesco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…