Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Mo sugar ipo sokoni tangu mwaka jana mkuu. Niliona kwenye store yake ya pale kisutu.
 
Ajenge power plant yake ya kuzalisha umeme atumie makaa ya mawe Ili kupata umeme wa kuendesha kiwanda , Ili apunguze gharama za uzalishaji Ili atuuzie bei chini sukari anaweza akauza sh 1800 kwa kilo, asipotumia umeme wa Tanesco.
Hawezi kukubaliwa hili
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Aige tu...sukari ishuke bei...
 
Na hilo ndio lilikuwa lengo la Mangu kuzuia sukari tokgsa nje ili watu wetu waingize mitaji huko.

Wapumbavu wakaanza kumtukana ila wenye akili ndio kama hivyo wameanza kuvuna matunda
aisee we na huyo Magu wako, unahisi ukimtajataja kina Joseph watakupa ajira upooze njaa bibie,

Nyie ndio mnasababisha mzee wa watu atukanwe, mtu ameshakufa, lakini bado mnamnyenyekea Kama mtapata swawabu
 
Kumbe halimi miwa ili azalishe sukari auze

Ova
Namaanisha kuna watu wanaleta sukari hizo toka nje na kuuza bei ya kutupa, hivyo kudhoofisha mno viwanda vya ndani, hata hicho kinaweza kisipone. JPM aliposema hakuna mtu kuagiza sukari bila yeye mwenyewe kutoa kibali hakuwa mjinga!

Ili kumkomoa, syndicates za wafanyabiashara hawa wenye asili ya Asia wakawa wanaenda kuweka order kubwa za sukari viwandani, kisha wanaenda kuficha kwenye magodown na kutengeneza uhaba mkali sana, hivyo ikabidi seriakli iruhusu tena uagizaji wa sukari. Umasikini wa hii nchi ni wa kutengenezwa tu, hatabukisefu wa ajira, tunatengenezewa tu.
 
Umeongea point kuubwa sana. Umasikini wa nchi hii unatengenezwa na watu wachache ambao tunaishi nao na kuwaona ndugu zetu.

Viwanda vya cement vimejaa kila kona, lakini maajabu bei ya cement iko juu kila siku, inakwenda inapanda baada ya kushuka.

Pamoja na kuwa na viwanda vya sukari lakini bei itabaki palepale.
 
Namaanisha kuna watu wanaleta sukari hizo toka nje na kuuza bei ya kutupa, hivyo kudhoofisha mno viwanda vya ndani, hata hicho kinaweza kisipone. JPM aliposema hakuna mtu kuagiza sukari bila yeye mwenyewe kutoa kibali hakuwa mjinga!

Ili kumkomoa, syndicates za wafanyabiashara hawa wenye asili ya Asia wakawa wanaenda kuweka order kubwa za sukari viwandani, kisha wanaenda kuficha kwenye magodown na kutengeneza uhaba mkali sana, hivyo ikabidi seriakli iruhusu tena uagizaji wa sukari. Umasikini wa hii nchi ni wa kutengenezwa tu, hatabukisefu wa ajira, tunatengenezewa tu.
Nimekuelewa..

Nchi hii kuna watu wanatakaga wao ndiyo wawe wanafaidika tu,kwa kukandamiza wengine

Tukirudi kwa baresa, ina maana yeye analima miwa huku,au ananunua miwa nchini na kuzalisha hapa hapa
Siyo

Ova
 
Back
Top Bottom