Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Unamsema Boss Dr. Mo. Unataka akasirike aisuse timu yetu!
 
Ajenge power plant yake ya kuzalisha umeme atumie makaa ya mawe Ili kupata umeme wa kuendesha kiwanda , Ili apunguze gharama za uzalishaji Ili atuuzie bei chini sukari anaweza akauza sh 1800 kwa kilo, asipotumia umeme wa Tanesco.
Mo kanja nja wa bidhaa. Atatengeneza hovyo hovyo mifuko inajipasukia yenyewe stoo.
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Mo sugar mbona ipo, slogan yao ni ‘peleka utamu nyumbani’ ,ila ana package tu, hazalishi
 
Mo kama kawaida yake anasubiri aige na hii bidhaa kesho kutwa utaskia Mo Sugar.

Yaani METL jamaa hawaumizagi akili kila anachotengeneza Azam wao wana copy yaani simple yaani.

Mo janja janja sana...!!
Japo ndio mdhamini wa team yangu.
Simba ndio mdhamini wa MO
 
Back
Top Bottom