Wanatia aibu ndio maana hawawezi kucheza nje ya nchi
Maneno haya ni ya mtu aliyekata tamaa, na mwenye chuki na kitu fulani na ambaye pia ana wivu kwa mafanikio ya mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatia aibu ndio maana hawawezi kucheza nje ya nchi
We mbojo tu kama sio mbojiYanga ni TFF yanga ndiye aliepangiwa na TFF kuchukua kombe.Kwa hali hii TFF ivunjwe tu.
Yanga raha sanaOyoooooooo wa kulia na walie,huku Jangwani raha tupu.
Tunawasuburi hao Azam tuwaoneshe tulivyowapa Waarabu wakati mgumu.
Kombe lao ila tutalichukua kiulaiiiiini.
😛😛😛
Mpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.
#teamyangaforever#
Wanapigiana penalt.....mtaniJamani kwa Azam mambo yako vipi?
Wamechomoka au?