Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Wanatia aibu ndio maana hawawezi kucheza nje ya nchi

Maneno haya ni ya mtu aliyekata tamaa, na mwenye chuki na kitu fulani na ambaye pia ana wivu kwa mafanikio ya mwingine
 
Yanga ni TFF yanga ndiye aliepangiwa na TFF kuchukua kombe.Kwa hali hii TFF ivunjwe tu.
 
Hao mpira na mawe wapi na wapi? Kufungwa washafungwa, hata wakimrushia Dida mawe siye ushindi wetu. Watajibeba...
 
Oyoooooooo wa kulia na walie,huku Jangwani raha tupu.
Tunawasuburi hao Azam tuwaoneshe tulivyowapa Waarabu wakati mgumu.
Kombe lao ila tutalichukua kiulaiiiiini.
😛😛😛
 
Mpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.

#teamyangaforever#
 
Oyoooooooo wa kulia na walie,huku Jangwani raha tupu.
Tunawasuburi hao Azam tuwaoneshe tulivyowapa Waarabu wakati mgumu.
Kombe lao ila tutalichukua kiulaiiiiini.
😛😛😛
Yanga raha sana
 
Hakuna sababu ya vodacom kudhamini ligi kama hii ambayo bingwa anapangwa na chama cha soka......

Nashauri TFF msimu ujao wamkabidhi tu Yanga ubingwa wake maana kuendelea na ligi ambayo bingwa ameshapangwa na TFF ni kuwapotezea watu muda wao na nguvu zao.....
 
Jamani kwa Azam mambo yako vipi?
Wamechomoka au?
 
Mpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.

#teamyangaforever#

Heeeeeeeeeeeee, YANGA imeshinda???? Duh, wale wa wapi sijui watasema sana... Na kama wale wa mcha...../matop... baadhi yao ni Arsenal basi ni wiki mbaya kwani Arsenal 0 Sunderland 0.
 
Waamuzi wa Tanzania kamwe hawatakuja kucheza mashindano yoyote africa nje ya Tanzania

Na mpira wetu tusitegemee kama utakuja kuendelea kama unajua mpira utaona yanga huu mchezo walitafutiwa ushindi!

Huo ndo ukweliiiiii kama hujui mpira utalopoka shudu zako hapo
 
Back
Top Bottom