Wanatia aibu ndio maana hawawezi kucheza nje ya nchi
We mbojo tu kama sio mbojiYanga ni TFF yanga ndiye aliepangiwa na TFF kuchukua kombe.Kwa hali hii TFF ivunjwe tu.
Yanga raha sanaOyoooooooo wa kulia na walie,huku Jangwani raha tupu.
Tunawasuburi hao Azam tuwaoneshe tulivyowapa Waarabu wakati mgumu.
Kombe lao ila tutalichukua kiulaiiiiini.
πππ
Mpira umeisha Coastal Union 1 - Young African 2.
Fujo zimetokea, mawe yanavurumishwa uwanjani. Ahsante kwa muda wa nyongeza Yanga tumetoka vifua mbele.
Achana na hao wanaosema tumebebwa, bebweni nanyinyi kama ni rahisi.
Hongera Yanga.
#teamyangaforever#
Wanapigiana penalt.....mtaniJamani kwa Azam mambo yako vipi?
Wamechomoka au?