Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Yani mechi ya leo unaona kabisa mwamuzi na kibendera wake walishachimbwa mkwara kabla ya gemu..mtu kamchezea vibaya mwenzie Badala ya red inatoka njano,goli la mkono kibendera kanyosha kaona refarii wake kamute ikabidi nae ashushe,goli la kwanza makosa hayohayo sa kwanini watu wasimbutue mshika kibendera unaweza kupata ukilema kwa kuwafaidisha watu ambao hawana mchango kwako
 
Yaaani nyie wa mchangani mnashida sana..yaani mnaiombea mabaya Yanga as if mnaghalimika chochote na ushindi wake
Tehee sa Yanga inakipi cha kutisha labda..nyi mbebwe si Azam tuwazibue vizuri tunawasubiri mmalizie hizo dk 15 mlizobakiza leo
 

Dada KOMBE LINARUDI KWA BAKHRESA, we endelea kupiga kelele tu! Nyie si wakubebwa tu kama brazil ya miake ile ilikuwa inabebwa sana tu
 
Dada KOMBE LINARUDI KWA BAKHRESA, we endelea kupiga kelele tu! Nyie si wakubebwa tu kama brazil ya miake ile ilikuwa inabebwa sana tu

Umaskini wa TFF ni balaa. Kila kitu ni Azam. Exclusive rights za Tv ni Azam. Udhamini wa FA ni Azam. Azam huyo huyo ana timu yake kwenye ligi na anashiriki FA Cup. Azam akiomba kwenda bonanza lazima apewe ruhusa maana ndiyo mwenye hela zake. Ratiba inasubiri arudi bonanza ambalo halikumsaidia chochote.

Tuna safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…