Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Azam Confederation Cup, Yanga VS Coastal Union 24:04:2016

Ifikie wakati sasa marefa waache mahaba....wachezeshe pambano kwa kufuata sheria za soka na sio kwa maagizo ya ngazi za juu....

Ni aibu kwa mwamuzi kuingia na matokeo mfukoni kama alivyofanya yule mwenyekiti........

Hali hii inashusha morali ya wachezaji katika ligi...kwani wanajua wazi kuwa wao hawastahili kuwa mabingwa na bingwa ameshapangwa......

Naishauri TFF msimu ujao wa ligi wasihangaike kupanga ratiba ndefu za ligi hali ya kuwa wameshamjua bingwa kabla hata ligi haijaanza....

Hizo pesa za wadhamini waandae sherehe za kumkabidhi ubingwa Yanga.......

Wasitupotezee muda wa kukaa kuangalia mpira huku wao wanamjua bingwa....
Yani mechi ya leo unaona kabisa mwamuzi na kibendera wake walishachimbwa mkwara kabla ya gemu..mtu kamchezea vibaya mwenzie Badala ya red inatoka njano,goli la mkono kibendera kanyosha kaona refarii wake kamute ikabidi nae ashushe,goli la kwanza makosa hayohayo sa kwanini watu wasimbutue mshika kibendera unaweza kupata ukilema kwa kuwafaidisha watu ambao hawana mchango kwako
 
Yaaani nyie wa mchangani mnashida sana..yaani mnaiombea mabaya Yanga as if mnaghalimika chochote na ushindi wake
Tehee sa Yanga inakipi cha kutisha labda..nyi mbebwe si Azam tuwazibue vizuri tunawasubiri mmalizie hizo dk 15 mlizobakiza leo
 
Hivi wewe unajua unachokisema kweli?
Hivi kwanini mnapenda kujidai wajuaji wakati hamjui chochote?
Ungesoma hata heading basi.....

Mashabiki wa Simba mna stress sana sipatii picha huko majumbani kwenu hali ikoje.

Kwa kukuonea huruma tu,hili ni kombe la ASFC na waandaaji/wadhamini ni Azam.

Dada KOMBE LINARUDI KWA BAKHRESA, we endelea kupiga kelele tu! Nyie si wakubebwa tu kama brazil ya miake ile ilikuwa inabebwa sana tu
 
Dada KOMBE LINARUDI KWA BAKHRESA, we endelea kupiga kelele tu! Nyie si wakubebwa tu kama brazil ya miake ile ilikuwa inabebwa sana tu

Umaskini wa TFF ni balaa. Kila kitu ni Azam. Exclusive rights za Tv ni Azam. Udhamini wa FA ni Azam. Azam huyo huyo ana timu yake kwenye ligi na anashiriki FA Cup. Azam akiomba kwenda bonanza lazima apewe ruhusa maana ndiyo mwenye hela zake. Ratiba inasubiri arudi bonanza ambalo halikumsaidia chochote.

Tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom