Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ushindi kwa Yanga, kila la kheri. Tunaimani na Yanga yetu.
#teamyangaforever#
#teamyangaforever#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Katavi Simba aka paka, mpira umewashinda. Sasa kazi kututungia ubaya Yanga wa Kimataifa...😛Mbereko fc
HakunaHivi kuna marudiano?
Pole ndio faida ya kuichukia Yanga.Come on Azam
Come on coastal
Wanatia aibu ndio maana hawawezi kucheza nje ya nchiTunaposema Yanga inaua mpira wa bongo.Huwa tunamaanisha.