Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ampige huyo tajiri vita? Wewe mpaka utoboke ini na figo zidondoke ndo utaamini kuwa zilikuwa hatari?Vita ya kibiashara
Business as usual. Hakuna uwajibikaji. Kuna watu zaidi ya 100 walibabuka ngozi kwa kula mafuta yenye kusadikika kuwa na sumu ulisikia hata waziri kaenda kuwatembelea? Mpaka ngozi kubabuka unajua huko ndani hali ipoje?kama ni kweli watumishi wa tbs ni wakifuta kazi wote.
Mo miatano.Vijana watajipooza koo na nn? Maana hiki ndo kinywaji chao pendwa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ninamiaka kadhaanakunywa hivyo vidude na nipo OkNani ampige huyo tajiri vita? Wewe mpaka utoboke ini na figo zidondoke ndo utaamini kuwa zilikuwa hatari?
Azam cola...😂Pombe kali tutachanganyia nini sasa 😁
Au more extraAzam cola...😂
Kama ni hivo basi Bora zifungweHii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Endelea kaka. EndeleaNinamiaka kadhaanakunywa hivyo vidude na nipo Ok