John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Na Watu wengine waliodhurika na hayo mafuta ya kula yenye sumu kuna taarifa kwamba wamepofuka macho, wamekuwa vipofu na hawaoni tena.Business as usual. Hakuna uwajibikaji. Kuna watu zaidi ya 100 walibabuka ngozi kwa kula mafuta yenye kusadikika kuwa na sumu ulisikia hata waziri kaenda kuwatembelea? Mpaka ngozi kubabuka unajua huko ndani hali ipoje?