Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Tetesi: Azam energy drink kufungiwa

Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Inawezekana ni kweli maana nilikunywa moja juzi mpaka sasa siko sawa
 
Sehemu ya mlo wa vijana wengi wa ki tanzania. Akipiga energy yake kushushia andazi la bakhressa siku inapita.

Bila kusahau booster ya vijana wenye upungufu wa kudisa.
 
Okay let's wait and see
Mkuu we nafikili kwanini umri wa uzee ndio maradhi hua yanaibuka mara kisukari mara Moyo au pressure.

Mara nyingi hutokana na lifestyle yaujanani huku.

Kwenye masuala ya sumu kuna sumu,
A) Ni acute ukinywa tu madhara unayaona hapo hapo.

B) Chronic hii inakusanyika mwilini baada ya kuitumia muda mrefu. Baadae sana ndio inaonesha dalili.
 
Hicho kinywaji nilikuwa natumia Sana hasa kwa kuwa kipindi nasoma vitabu vyangu na nikiwa namikesha ya usiku Ina ni support Sana..Lakini nilikuja kuanza kuona moyo wangu unauma, pressure ,kichwa kinauma kesho yake . complication kibao Dr mmoja aliniambia achana nacho ..niliacha Hadi Leo nipo vizuri ...nasema kifungiwe tu . Nipo Burundi hapa ila warundi wanakigonga kuliko ,wanakipenda Sana hiki kinywaji
 
Hii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Hii ya panya ntaipratize aiseee.
 
Mfanyabiashara yeyeto ana shida na pesa yako sio afya yako,watunza Sheria wao kwa sababu ya njaa wananunulika tu
 
labda kama sio tz, yaaani hyo azam kuna vigogo wa serikali wamo, afu kifungiwe
 
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
hata mwamedi nae anamaliza vijana na energy yake
 
Nilicha kunywa Azam nilikishtukia mda.
Kwanza wanaotengeneza nahisi walikuwa hawafati afya za watu.Kina umiza kichwa vibaya sana na sukari iliyomo humo sijui ilitaka kusaidia masheik na wapenda sukari.
 
Hii Azam energy Ina uwezo wa kuuwa ng'ombe sembuse we mwanadamu.
Chukua chupa moja ichemshe kisha mwagia majani ng'ombe wakila wanakufa ndo wakulima uitumia Morogoro kuuwa ng'ombe za wafugaji wakorofi wwanaolisha mashamba yao.
Pia utumika kuulia panya loweka nafaka na energy kisha weka mahali pa panya wakila wanakufa wote
Ila nijuavyo kuna vitu ni sumu kwa binaadamu ila si sumu kwa mnyama na kuna vitu ni sumu kwa mnyama ila sio sumu kwa binaadamu.
 
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii kuwepo sokon sijui imeshamaliza watu wangapi mpka sasa.
Niliwaambia mkabeza!

Back
Top Bottom